Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,674
- 37,852
Huyu Advocate Ringo Tenga, mbona anaachwa tu wala hapewi msukosuko kuulizwa who is behind Dowans?
Lakin hii ndiyo imekuwa style ya tassisi zetu za kipelelezi ambazo nazo zinaendeshwa na mafisadi -- kwa maana ya wanazoziongoza. Kwa mfano Hosea alishindwa kabisa kum-confront Kimei na kumuuliza yale mabilioni ya Kagoda yaliyolipwa cash over the counter kutoka matawi ya benki yake yalilipwa kwa nani?
UJAONA MWISHONI
KIKWETE NI MHUSIKA UJIO WA DOWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANS?