Fisadi Mtoto
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 639
- 81
c dowans 2, anamiliki makampuni kibao na kufanya biashara zake bila kulipa kodi, pia huyo nd'o remote ya jk hawezi kufanya kitu ambacho rostam hataki kifanyike kwani ccm yote iko mikononi mwa rostam
Kinachowasumbua hapa ni umasikini wenu ambao umepeleke hata akili kuchakachachulika.....Rostam na dowans hawana kosa lolote na haya nitayaeleza kama ifuatavyo:
1.Rostam kumiliki au kutomiliki dowans sio kosa kisheria wala kimaadili.Anayo haki ya kufanya biashara na hata kuficha mali zake
2.Dowans walitakiwa kuleta umeme hata kama kampuni haikusajiliwa kama ambavyo mnajaribu kudai humu ndani bado iliweza kutekeleza mkataba na kuzalisha umeme.
3.Shida yetu ilikuwa ni umeme na mpaka sasa bado tunayo kwahiyo tuangalie je dowans hawakuweza kutatua na kufunga mashine kw ajili ya umeme?
4.Dowans walikuwa tayari kupata hasara kwa kuuza kwa bei ya chini mitambo yao kwa serikali lakini Mwak alisema watanzania wako tayari kukaa gizani kuliko kutumia mitambo ya dowans.......hahahahah ujinga kazi.
5.Ni wangapi humu wanajua kuwa tanzania ina mikataba na makampuni kama aggreco,songas na IPTL ya kuzalisha umeme.....na kati ya makampuni yote dowans ndio mkataba wanalipwa pesa kidogo kwa megawatts. Kama kweli tunauchungu na utanzania na sio rostam chuki binafsi kwa nini tunakubali kulipa megawatts za chini IPTL kwa malipo ya million mianane kwa siku na kuacha megawatts nyingi zaidi kwa shilling million mia moja na tatu kwa siku eti kwa kuwa ni kampuni ya rostam. hahahahaha
6.Wangapi wanajua kuwa katika malipo yanayopaswa kulipwa kwa dowans, asilimia 47 ya malipo haya ni umeme aambao tanesco iliutumia na bado hawakulipa mpaka mkataba unavunjwa.
7.Wangapi wanajua kuwa wakati tanesco ikinunua umeme kwa malipo ya shillingi milion 103 kwa siku yenyewe inatuuzia wananchi umeme huo huo kwa shillingi million mia sita kwa siku.
HUMU TUMEJAA WIVU TU KWA ROSTAM NA SIO KWELI TUNATAKA KUPAMBANA NA UFISADI NA NDIO MAANA HATULALAMIKI KULIPA MAFUTA YA MILLIONI MIA SITA KWA SIKU NA KUACHA UMEME WA MILLIONI 103 KWA SIKU......UJINGA NI MZIGO MKUBWA KULIKO UNAVYOZANIA.