Mwali: Mmiliki wa DOWANS ni huyu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwali: Mmiliki wa DOWANS ni huyu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halisi, Mar 9, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Jamani, hiki ni kitendawili, DOWANS ni nani hasa?!!!!!! Kazi kwenu.

  [​IMG]

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Mar 16, 2009
 2. K

  Keil JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2009
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hiyo kampuni ya Ringo & Associates ni kampuni ya Dr. Ringo Tenga?
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Mar 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  10q Halisi... This' interesting
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Mar 9, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,395
  Trophy Points: 280
  Kumbukeni ni wanasheria gani waliotia sahihi kampuni ya Kagoda?
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Mar 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  The scanned document doesn't say much....could we get more pages if there are any?
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Yes, Nyani Ngabu, more pages pse, anaweza akawemo Zitto as shareholder, who knows?
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Mar 9, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,395
  Trophy Points: 280
  Nyani, utamu wa pilau unaanza kwa harufu!!

  from The Citizen Feb 8, 2008 "December 17, 2006: Richmond Development Company approaches South African based company, Dowans Holdings, to cut a deal in a desperate effort by Richmond to hang on to the lucrative $172.5million emergency power supply contract."

  Pay attention to the dates...
   
 8. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hapana si Kagoda bali ni ndugu yake Kagoda aitwaye Afritainer, inayomilikiwa na familia ya Rostam Aziz, kama ilivyoandikwa hapa na Raia Mwema.... Ndio mujue, Kagoda, Dowans zote ni moto


  Siri mpya ya EPA yaiumbua Kagoda

  Nyaraka zilizotumiwa na Afritainer kuchota mabilioni ya fedha za EPA mwaka 2000 zinaonyesha kwamba kampuni hiyo imetumia namba za simu 2861371 na 2861372 ambazo pia ndizo zimetumiwa na Kagoda katika kuchota fedha za EPA mwaka 2005. Namba hizo zinaonekana katika nyaraka za kampuni nyingine yenye uhusiano na wamiliki wa Afritainer.

  Nyaraka kutoka Wakala wa Usajili wa Makampuni na Leseni (BRELA) zinaonyesha kwamba Tabu Omari Masula na Barati A. Goda, walidaiwa kuingizwa kuwa wakurugenzi wa kampuni hiyo Mei 15, 2000 kinyume cha sheria.

  Barua ya BRELA ya Februarin 18, 2002, miaka miwili baada ya Tabu na Barati kuchota fedha za EPA, ilieleza kwamba wakurugenzi hao hawakuwa halali kutokana na kutokuwa na hisa katika kampuni ya Afritainer.

  Kwa mujibu wa barua hiyo kwenda kwa kampuni ya mawakili ya M.A.Imail, Tabu na Barati walikiuka kifungu cha 50 cha hati ya usajili ya kampuni hiyo kinachomlazimu mkurugenzi kuwa na hisa katika kampuni kwanza ili aweze kuwa na maamuzi.

  Waraka wa Afritainer uliowasilishwa BRELA Mei 15, 2000, ulieleza kwamba wakurugenzi pekee na waazilishi wa Afritainer ni Bahram Abdurasul Chakaar na Gulam Abdurasul Chakaar, wamejiuzulu ukurugenzi na kuwaachia Tabu na Barat.

  Hata hivyo, BRELA katika barua ya Februari 18, 2002 iliyoandikwa na Msajili Msaidizi wa wakala huo, L. Kimaro, ilieleza wazi kwamba hadi wakati huo ubadilishaji wa wakurugenzi haukuwa umeidhinishwa kutokana na kutokufuata masharti ya usajili.

  Tabu anatajwa kufanya kazi katika kampuni moja ya jijini Dar es Salaam yenye ofisi zake eneo la viwanda barabara ya Nyerere na Upanga.

  Kwa mujibu wa habari ambazo Raia Mwema imezipata fedha hizo kiasi cha Sh. Bilioni 13 zilichukuliwa Agosti 2000 kabla ya uchaguzi wa pili wa vyama vingi ambao Benjamin Mkapa aligombea tena urais.

  Waidhinishaji wakuu wa mikataba ya uchukuaji wa fedha hizo walikuwa ni mawakili maarufu wa kampuni ya uwakili ya Law Associates chini ya mkuu wake Dk. Ringo Tenga. Dk. Tenga sasa ni mwanasheria wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
   
  Last edited: Mar 9, 2009
 9. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa nadhani Dowans ni Richmond iliyopitia mlango wa uani. Unajua jina Richmonduli,lilikuwa wazi sana. Hakuna jipya hapa ili kuwa ni Zuma style of bouncing back.
   
 10. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huyu Advocate Ringo Tenga, mbona anaachwa tu wala hapewi msukosuko kuulizwa who is behind Dowans?

  Lakin hii ndiyo imekuwa style ya tassisi zetu za kipelelezi ambazo nazo zinaendeshwa na mafisadi -- kwa maana ya wanazoziongoza. Kwa mfano Hosea alishindwa kabisa kum-confront Kimei na kumuuliza yale mabilioni ya Kagoda yaliyolipwa cash over the counter kutoka matawi ya benki yake yalilipwa kwa nani?
   
 11. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,844
  Likes Received: 1,110
  Trophy Points: 280
  nakupa mji Mkuu, Morogoro (mji kasoro bahari). Leta pilau kaka...
   
 12. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  bado sijaupenda
   
 13. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watu hawa wanafahamika ila tunaowategemea wawaseme wanashirikiana nao.Serikali isingekuwa pamoja nao wangeshawataja,kwa hiyo huu ni mchezo ambao Serikali yetu inashiriki kuucheza,uvumbuzi pekee ni 2010 kuwaondoa wasanii katika uongozi wa nchi yetu.
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Mar 9, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,395
  Trophy Points: 280
  Ningekuwa mimi Rostam... ningetangaza kujiuzulu Ubunge na kuamia Dubai ndani ya siku saba maana... wiki ijayo inshallah... mwali atatolewa ndani!!
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,665
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  Ngoja niongeze stock ya popcorns picha ndo linafikia patamu

  thanks mkuu MMM
   
 16. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2009
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  M.M.M, hapo ndipo pale mahali watu wanakubaliana nawe..... lete maneno twangojea kama mpira wa kona!!!
   
 17. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2009
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu Halisi, haya chukua PEMBA Mkuu manake kule kuna marashi atiii............
   
 18. Mkaguzi

  Mkaguzi JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2009
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  MMJ watuweka roho juu sasa
   
 19. Makaayamawe

  Makaayamawe JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2009
  Joined: Feb 21, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mwanakijiji,
  Wewe hushangai kwa mara ya kwanza TZ gabacholi anakuwa na kasheshe kibao lakini hakimbii nchi?

  Rostam ana kinga ya Kikwete na as long as Kikwete ni mfalme, basi hakuna atakayeweza kumgusa Rostam, hata akiliuza jengo la bunge.
   
 20. Mkaguzi

  Mkaguzi JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2009
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Halisi, nakupa Dom sababu kule utakua karibu nao
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...