Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,138
wanaogopa nini
Hivi mathalan Dr Kigwangala akagombea uenyekiti chama cha madaktari watamzuia?
wanaogopa nini
Wewe unajua kinachowangaisha CCM hawatulii kutoa kauli za kipuuzi ni nini?Come on..really?
Aogopwe kwani yeye ana nini hasa?
Ana uwezo gani hasa ulio wa kipekee sana hadi aogopwe?
Kwa maoni yangu Mwakyembe ana hoja nzuri kabisa sema tu labda hapo awali alikosea namna ya kuiwasilisha.
Lakini kusema kwamba sijui wanamwogopa Lissu...give me a break!
Inawezekana kabisa hawa watu hawana akili timamu wanamwogopa sana Tundu Lissu.Ukitaka kujua nchi inayoongoza kwa UNAFIKI duniani, basi tazama Tanzania . .
Kuna siku tutasikia na kuona maajabu, Bunge la ccm likikaa kubadilisha vipengele vya katiba kukataza MTU yoyote anayetoka Singida kugombea uraisi wa chochote nchini Tz . . [emoji23]
Hebu andika vizuri ueleweke kwanza kabla sijakujibu.Wewe unajua kinachowangaisha CCM hawatulii kutoa kauli za kipuuzi ni nini?
Na hao Viongozi walifuata nini huko kama siyo kijipendekeza??
Naona baada ya kuforce imeshindikana sasa ameanza kuhonga wapiga kura.Ni wakati wa RAIA kuwazodoa wanasheria uchwara.
Nani ana PhD Thesis yake aiweke hapa?
Hivi na yy alianzia Diploma eeh?
Pigo kubwa kivipi hasa?Tundu Lissu kugombea uraisi wa TLS CCM pigo kubwa sana wamjua siyo mtu wa mchezo mchezo. Msiyempenda anakuja