Mwakyembe asisitiza: Hatukubali TLS kujiingiza katika siasa

Mwakyembe asisitiza: Hatukubali TLS kujiingiza katika siasa

Nimeeleza namna sheria zetu zinavyopatikana na zinavyorekebishwa. Hiyo dunia ya ujima inahusikaje hapa?

Tunaonaongelea dhana ya demokrasia ya uwakilishi (represantative democrasy. Sera za chama tawala ndizo hutawala kwa kutungiwa sheria kupitia wawakilishj wa wanainchj yaanj bunge. Chama tawala kinapokuwa na wabunge asilimia 75% kinakuwa hakina kizuizi cha kutekeleza sera zake kwanj hata hiyo katiba ya nchi kinaweza kuibadilisha kitakavyo, sembuse hako kasura ka 307 ka sheria! Jitahidi kufikiri nje ya box rafikj yangu Chakaza.
Mkuu ulicho fanya hapa ni kueleza kuwa hiyo 75% ya wabunge ambao ni wa chama tawala hawafikiri. Na kuwa kila kiletwacho kwao ni kupita tuu hata kama ni kibovu kwa kiwango cha juu?
 
Hata sisi hatutaki TLS ijiingize katika harakati za kisiasa ila tunaitaka isimamie malengo yake kama yalivyoainishwa katika kifungu cha 4 cha sheria ya kuanzishwa kwake..

Kwahiyo "ndugu" mwakyembe wala asiwe na hofu!
Una akili mingi sana.Cha kushangaza akina Bashite(mkuu wa mkoa wa Dar kwa sasa) ndio wanapata vyeo vya ofa!
 
Hivi nyie wasomi wa kitanzania mnajitambua....Hivi ni taasisi hipi leo ambayo kweli alishiriki katika siasa...Mwakyembe acha upofu n.a. ukiziwi wa kufikiria
 
Huyo Rais wao John seka ,moja kwa moja alikuwa kibaraka wa serikali au sisiem na alikwenda kukamilisha mipango ya kumzuia mtu asigombee!

Wanachama wa TLS waanze kumwajibisha yeye kwanza kabla ya lolote ni msaliti mkubwa huyo.
 
Sasa TLS ikiwafuta watu kama hao huoni kama itakuwa inafanya kilekile ambacho serikali ya CCM inakifanya?

Nuts!!

Nyani Ngabu,wakati umefika kwa wasomi kujitambua.Tunahitaji kiongozi atakayeheshima Sheria,Katiba na Taratibu.Hili hata wanaCCM wakilionea haya kama watanzania hatuhitaji kulionea haya.Hili hata Rais wa kwanza alilikemea tuheshimu sheria,na tuheshimu uhuru wa mtanzania kuchagua viongozi wanaoona wanawafaa.Serikali haitakiwi katu kuingilia taasisi zingine hata kama hazipendezwi nazo waziheshimu maana kesho wasije kulaumiwa.Ninaona jinsi ambayo Mwakyembe atakavyokuja kulaumiwa na kudharauliwa ni muda tu.

Tuuweke UTAIFA wetu kwanza,umoja na ushirikiano ndicho muhimu kwetu,TAIFA letu sote.Ni sawa na wajenzi kuna anayebeba mchanga,cement,kokoto na tofali vyote pamoja vikipangwa vinatengeneza nyumba.
 
Hao watakuwa wanasheria makada mwenzake walienda kumtembelea ndo wakashauriana huu ujinga ambayo hana mamlaka hayo.

Yaani hao MAKADA wanatakiwa wafukuzwe kabisa kwenye hicho chama .Ninashangaa kwanini Mwakyembe asianzishe Chama Cha Mawakili wa CCM,ili hiki cha TLS aachie wenyewe.KWanza Mwakyembe siyo Member aache wanachama wafanye kazi yao kwa uhuru.

Hakika Serikali ovu huogopa hata kivuli chake chenyewe.Wanaona tabu Mtanzania wa kawaida akijua haki zake kama RAIA,wanajua STRONG TLS itawafanya watanzania waamke haraka na kujua haki zao.
 
Mwakyembe nashindwa kumwelewa kabisa ile simu ilimwaribu ubongo waanzishe chama Chao cha wanasheria wa CCM. Lakini Chama cha Wanasheria Tanganyika wanajitambua wanaweza kufanya maamuzi wenyewe yeye aache vitisho vya kipuuzi. Kusikia Tundu Lissu anagombea uraisi wa TLS matumbo yanawasha moto.

Hivi mnafaham kuwa ukiwa kiongozi ndani ya serikali hii majibu huwa ni kinyume usishangae prof wa hesabu akaulizwa 5*5 akajibu sifuri 7bu atakwambia ame differentiate constant kabla ya kuzidisha ndo maana simshangai mwakyembe kama kweli aliandika kitabu kilichompa PhD lakini alikikana ktk bunge la katiba. Hata ukiwa prof ndani ya hii gvt ni sawa na poyoyo tu, ndo maana tuna wakuu wa mikoa kadhaa wana zero na wamefanyiwa vetting nahisi hata hao wanaowafanyia wenzao vetting nao waliscore zero mi pia nahisi huenda bashite alifanyiwa vetting na yule mkuu wa mkoa mwenye zero ya six
 
Jambo lingine, wao kuiingilia TLS ni sawa, ila siasa kuiingilia TLS si sawa. Hivi hii ni akili ya wapi?
Obviously ni akili ya tope si ubongo! Lakini sijawahi kumuamini *kyembe. Yeye ni mnafiki wa kiwango cha lami. Utamsilkia mara OOOH kwa utafiti wangu Muungano wa serikali tatu ndio jibu halisi mara ooh serikali mbili ndio sawa. Mara Lowasa ni fisadi lakini makama ya mafisadi ipo lakini hawampeleki akastakiwe! Siku akitolewa tu uwaziri utamsikia analalama ooh serikali inaingilia chama chetu.
 
Mkuu ulicho fanya hapa ni kueleza kuwa hiyo 75% ya wabunge ambao ni wa chama tawala hawafikiri. Na kuwa kila kiletwacho kwao ni kupita tuu hata kama ni kibovu kwa kiwango cha juu?
Wao ni wawakilishi tu. Hawapaswi kwenda kinyume na kile ambacho chama chao kilivyoamua. Hata hao 25% kutoka upinzani ni hivyo hivyo - chama chao kikisema kushoto geuka hawapaswi kugeuka kulia. Hiyo ndiyo dhana ya representative democrasy dunia nzima. Siyo mbunge wenu mmemtua akaseme hivi halafu yeye anaenda kusema tofauti kwa kisingizio eti amefikiri hivyo.
 
Mwakyembe nashindwa kumwelewa kabisa ile simu ilimwaribu ubongo waanzishe chama Chao cha wanasheria wa CCM. Lakini Chama cha Wanasheria Tanganyika wanajitambua wanaweza kufanya maamuzi wenyewe yeye aache vitisho vya kipuuzi. Kusikia Tundu Lissu anagombea uraisi wa TLS matumbo yanawasha moto.

Siyo yanwasha yamepata mparanganyiko wanaumwa kuhara kwa sasa
 
Respect kwako Lissu kwani watawala wanaumiza sana akili juu yako pamoja na Chadema kwa ujumla.....
Itawachukua mda/gharama/na hata maisha yao yote kudhoofisha au kuisambaratisha kambi hii ya Chadema...
Kuna mwehu mmoja jana baada Lissu kuachiwa na kushikiliwa tena akapost akiuliza kwann Lissu kila siku lkn sio Mtatiro au Maalimu Seif wa CUF.......?nilimshangaa sana kwa kukosa ufahamu........!
 
wanaogopa nini
Tunamsubili tuone Ana uwezo wa kufuta?
Maana Tanzania inawasomi wa ajabu ajabu kama Mwakyembe wengi tu.
Viongozi wanafiki na vioja vya mwakyembe!

Hofu kubwa kwa CCM wanamwogopa sana Tundu Lissu.

Hata sisi hatutaki TLS ijiingize katika harakati za kisiasa ila tunaitaka isimamie malengo yake kama yalivyoainishwa katika kifungu cha 4 cha sheria ya kuanzishwa kwake..

Kwahiyo "ndugu" mwakyembe wala asiwe na hofu!

Kwani nani kasema anakiingiza TLS kwenye siasa?

Wakili msomi Joseph Kinango alisema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata kabla Mwakyembe hajalitamka. Yani wakati Mwakyembe anafikiria kutamka tayari lilikua batili.

Tundu Lisu kasaidia sana TLS,kufahamika wengi tulikuwa hatujui chochote

Kila nikikumbuka alivyojitetea kuhusu swala la serikali tatu kwenye bunge la katiba Mungu ndo anajua ninachowaza

Watatafuta kila sababu ya kuchukua control. Ila ukweli unabaki palepale, wanasheria wakijitambua nchini viongozi wengi watakua kwenye wakati mgumu sana maana wanafanya madudu mengi sasa hivi kinyume cha sheria.
 
Kujisomea na kuelewa.
Haya jisomee na uelewe..
4. Objects

The objects for which the Society is established are–
(a) to maintain and improve the standards of conduct and learning of the legal
profession in Tanzania;
(b) to facilitate the acquisition of legal knowledge by members of the legal
profession and others;
(c) to assist the Government and the Courts in all matters affecting legislation, and
the administration and practice of the law in Tanzania;
(d) to represent, protect and assist members of the legal profession in Tanzania as
regards conditions of practice and otherwise;
(e) to protect and assist the public in Tanzania in all matters touching, ancillary or
incidental to the law;
(f) to acquire, hold, develop or dispose of properties of all kinds, whether movable
or immovable, and to derive capital or income from them, for all or any of the
foregoing objects;
(g) to raise or borrow money for all or any of the foregoing objects in any manner
and upon any security which may from time to time be determined by the
Society;
(h) to invest and deal with moneys of the Society not immediately required in any
manner which may from time to time be determined by the Society;
(i) to do all other things which are incidental or conducive to the attainment of the
foregoing objects or any of them.

Tunamsubili tuone Ana uwezo wa kufuta?
Maana Tanzania inawasomi wa ajabu ajabu kama Mwakyembe wengi tu.
Hivyo ni vitisho tu, kuwatisha watu wasifanye maamuzi yao wanayodhani yanawafaa..

Kuifuta TLS sio jambo la mzaa kama huyo bwana anavyotamka!
 
HATUTAKUBALI TLS KUJIINGIZA KATIKA SIASA-MWAKYEMBE

Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria, Mhe. Dkt Harrisson Mwakyembe amesema Serikali haiwezi kuona Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kinajiingiza katika siasa na kama TLS wanataka hivyo, basi Serikali haitasita kuifuta Sheria ya TLS Sura ya 307 iliyoanzisha chama hicho cha Wanasheria.

DKt Mwakyembe alikuwa akizungumza hayo na ugeni wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) uliokwenda kumtembelea Ofisini kwake mjini Dodoma ukiongozwa na Rais wao Bw. John Seka.View attachment 477476 View attachment 477477
My take ==Hayo mamlaka ya kufuta Chama cha Wanasheria Tanganyika Mwakyembe anayatoa wapi?

Wakili msomi Joseph Kinango alisema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata kabla Mwakyembe hajalitamka. Yani wakati Mwakyembe anafikiria kutamka tayari lilikua batili.
JARIBUNI BASI MUONE ! Kelele za nini ?
 
huyu ni mmoja ya wale wanaoitia najisi sheria na taaluma zao
 
Back
Top Bottom