Yaani aifute sheria iliyoiazisha TLS inayoongozwa na TAL kwenye bunge ambalo TAL ni mnadhimu wa kambi ya upinzani ambapo mawakili wote, majaji ni wanachama?Naamini wote hawa wanajitambua, Mwakyembe apige kampeni kwa kuonyesha TAL ataathiri vipi TLS na kusababisha isitende majukumu yake. Lakini hii ya vitisho vya kufuta TLS si kampeni sahihi kwa wasomi hawa.