Mwakyembe asisitiza: Hatukubali TLS kujiingiza katika siasa

Mwakyembe asisitiza: Hatukubali TLS kujiingiza katika siasa

Mambo mengine ni haibu kusema yamezungumzwa na mtu mwenye weledi wa kiwango cha PhD,hivi TLS katika muundo was serikali inaingia sehemu gani? Kama ni moja ya taasisi za serikali ndiyo serikali inaweza kutoa maelekezo yake lakini kama ni chama cha wataalamu kama kilivyo chama cha walimu au chama cha wakandarasi basi kunavitu ambavyo serikali ilikuwa inawakandamiza wataalamu wetu was sheria ili wasiweze kuihoji serikali hii ya ccm,
Ningeshauri kama mahakimu wote na mawakili wote ni wanachama was hiki chama basi waonyeshe umoja na mshikamano

You have said all mkuu
 
Hata sisi hatutaki TLS ijiingize katika harakati za kisiasa ila tunaitaka isimamie malengo yake kama yalivyoainishwa katika kifungu cha 4 cha sheria ya kuanzishwa kwake..

Kwahiyo "ndugu" mwakyembe wala asiwe na hofu!

Kuongozwa na mwanasiasa ndio taasisi kuwa ya kisiasa? Hapo kuna swala limejificha na sio ishu ya kisiasa, mbona wakuu wa majeshi wastaafu wanaongoza taasisi za kisiasa?
 
HATUTAKUBALI TLS KUJIINGIZA KATIKA SIASA-MWAKYEMBE

Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria, Mhe. Dkt Harrisson Mwakyembe amesema Serikali haiwezi kuona Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kinajiingiza katika siasa na kama TLS wanataka hivyo, basi Serikali haitasita kuifuta Sheria ya TLS Sura ya 307 iliyoanzisha chama hicho cha Wanasheria.

DKt Mwakyembe alikuwa akizungumza hayo na ugeni wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) uliokwenda kumtembelea Ofisini kwake mjini Dodoma ukiongozwa na Rais wao Bw. John Seka.View attachment 477476 View attachment 477477
My take ==Hayo mamlaka ya kufuta Chama cha Wanasheria Tanganyika Mwakyembe anayatoa wapi?

Wakili msomi Joseph Kinango alisema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata kabla Mwakyembe hajalitamka. Yani wakati Mwakyembe anafikiria kutamka tayari lilikua batili.

Na hao Viongozi walifuata nini huko kama siyo kijipendekeza??

Naona baada ya kuforce imeshindikana sasa ameanza kuhonga wapiga kura.Ni wakati wa RAIA kuwazodoa wanasheria uchwara.
 
Umenena mkuu, hawa nao nadhani wana ajenda yao. Uwezi kumtembelea mtu ambaye ameonyesha kuwa against na taasisi unayoiongoza. Mimi nadhani hawa ndio wanafanya wananchama wa TLS wadhani association yao imekuwa kama kitengo cha serikali vile. This must stop, tunataka TLS itakayosema jambo dunia itetemeke.

Ndiyo CCM inawataka Mawakili kama hawa wasiojitambua.Wasiojua nini maana ya haki.Wako kwa ajili ya maslahi ya Watawala. Mawakili kama hawa wanatakiwa kunyongwa hadi kufa. Yaani hawastahili kupewa hata siku moja ya kuishi.

Nashangaa Katiba ya TLS haina kipengere cha kuwafuta wapumbavu kama hawa.
 
Nani ana PhD Thesis yake aiweke hapa?

Hivi na yy alianzia Diploma eeh?
 
Hata sisi hatutaki TLS ijiingize katika harakati za kisiasa ila tunaitaka isimamie malengo yake kama yalivyoainishwa katika kifungu cha 4 cha sheria ya kuanzishwa kwake..
Kwahiyo "ndugu" mwakyembe wala asiwe na hofu!
Ikiwa Sheria inawapa uhalali wa kufanya haya Kulikuwa kuna haja gani ya hawa viongozi wa TLC kwenda Dodoma kuonana na Waziri? Hofu yao nini?
 
Umenena mkuu, hawa nao nadhani wana ajenda yao. Uwezi kumtembelea mtu ambaye ameonyesha kuwa against na taasisi unayoiongoza. Mimi nadhani hawa ndio wanafanya wananchama wa TLS wadhani association yao imekuwa kama kitengo cha serikali vile. This must stop, tunataka TLS itakayosema jambo dunia itetemeke.
Wakuu hivi sheria ilioanzisha TLS inaruhusu wanasheria ambao ni wanasiasa kujiunga nacho?
Kama jibu ni ndio then inasemaje kuhusu mtu anaetaka kugombea uwongozi wake??
Kama ni hapana sasa ilikuaje Lissu akawa mwanachama?
Nafikiri ni wakati kila mtu atii sheria bila shuruti yaani Lissu aachwe agombee na serikali itimize wajibu wake kwa wananchi wake akiwepo Lissu. Kama Lissu anahaki kisheria kugombe then serikali iheshimu hilo ila kama haimruhusu basi Lissu na asiruhusiwe kwa mujibu wa sheria husika?
Ni hayo tuuu
 
Hao walioenda kumtembelea walifuata nini ?

Mwakyembe anafikiri hawa jamaa ni wale wapiga kura wa kuwapa T-shrit na Kofia ?

Kwanza hao TLS wanasubiri nini mtu kama Mwakyembe walitakiwa wamvue uanachama aendelee na kelele zake za kuamini katika serikali 2 wakati Thesis iliyompa PhD ana amini katika serikali tatu

What a hopeless Mofo
 
HATUTAKUBALI TLS KUJIINGIZA KATIKA SIASA-MWAKYEMBE

Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria, Mhe. Dkt Harrisson Mwakyembe amesema Serikali haiwezi kuona Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kinajiingiza katika siasa na kama TLS wanataka hivyo, basi Serikali haitasita kuifuta Sheria ya TLS Sura ya 307 iliyoanzisha chama hicho cha Wanasheria.

DKt Mwakyembe alikuwa akizungumza hayo na ugeni wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) uliokwenda kumtembelea Ofisini kwake mjini Dodoma ukiongozwa na Rais wao Bw. John Seka.View attachment 477476 View attachment 477477
My take ==Hayo mamlaka ya kufuta Chama cha Wanasheria Tanganyika Mwakyembe anayatoa wapi?

Wakili msomi Joseph Kinango alisema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata kabla Mwakyembe hajalitamka. Yani wakati Mwakyembe anafikiria kutamka tayari lilikua batili.
Hii sumu ya India bado kichwani, msamehe!
 
Back
Top Bottom