Kusikia Tundu Lissu anagombea uraisi wa TLS hali ya hewa huko lumumba imeharibika kabisa
Jamani huyo mwakyembe ni wakusamehewa tu maana ile sumu iliozesha ubongo wake!HATUTAKUBALI TLS KUJIINGIZA KATIKA SIASA-MWAKYEMBE
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria, Mhe. Dkt Harrisson Mwakyembe amesema Serikali haiwezi kuona Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kinajiingiza katika siasa na kama TLS wanataka hivyo, basi Serikali haitasita kuifuta Sheria ya TLS Sura ya 307 iliyoanzisha chama hicho cha Wanasheria.
DKt Mwakyembe alikuwa akizungumza hayo na ugeni wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) uliokwenda kumtembelea Ofisini kwake mjini Dodoma ukiongozwa na Rais wao Bw. John Seka.View attachment 477476 View attachment 477477
My take ==Hayo mamlaka ya kufuta Chama cha Wanasheria Tanganyika Mwakyembe anayatoa wapi?
Wakili msomi Joseph Kinango alisema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata kabla Mwakyembe hajalitamka. Yani wakati Mwakyembe anafikiria kutamka tayari lilikua batili.
Na ndio maana wanataka kuzuia kwa gharama yeyote.Watatafuta kila sababu ya kuchukua control. Ila ukweli unabaki palepale, wanasheria wakijitambua nchini viongozi wengi watakua kwenye wakati mgumu sana maana wanafanya madudu mengi sasa hivi kinyume cha sheria.
Hao viongozi waliokwenda kwa Mwakyembe ndio hasa wanaoingiza TLS kwenye siasa za ki-CCM. Wamekwenda kutumika kama daraja ili Mwakyembe atoe hilo tamko lake tena. Lengo lao ni kumchochea huyo Mwakyembe azidi kutoa vitisho hivyo kwa matumaini kuwa wapiga kura wataamua kutomchagua TAML kuwa Rais wa TLS, na kumchagua huyo anayependwa na serikali.....mawazo yao ni kuwa wana TLS watafanya hivyo kwa hofu ya chama chao kufutwa pindi wakimchagua LissuUmenena mkuu, hawa nao nadhani wana ajenda yao. Uwezi kumtembelea mtu ambaye ameonyesha kuwa against na taasisi unayoiongoza. Mimi nadhani hawa ndio wanafanya wananchama wa TLS wadhani association yao imekuwa kama kitengo cha serikali vile. This must stop, tunataka TLS itakayosema jambo dunia itetemeke.
ule ugonjwa wa kubanduka ngozi umeishaa,inawezekana umeenea sanaHATUTAKUBALI TLS KUJIINGIZA KATIKA SIASA-MWAKYEMBE
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria, Mhe. Dkt Harrisson Mwakyembe amesema Serikali haiwezi kuona Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kinajiingiza katika siasa na kama TLS wanataka hivyo, basi Serikali haitasita kuifuta Sheria ya TLS Sura ya 307 iliyoanzisha chama hicho cha Wanasheria.
DKt Mwakyembe alikuwa akizungumza hayo na ugeni wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) uliokwenda kumtembelea Ofisini kwake mjini Dodoma ukiongozwa na Rais wao Bw. John Seka.View attachment 477476 View attachment 477477
My take ==Hayo mamlaka ya kufuta Chama cha Wanasheria Tanganyika Mwakyembe anayatoa wapi?
Wakili msomi Joseph Kinango alisema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata kabla Mwakyembe hajalitamka. Yani wakati Mwakyembe anafikiria kutamka tayari lilikua batili.
JARIBUNI BASI KUIJARIBU SERIKALI, AMA SIVYO ACHENI KELELE !HATUTAKUBALI TLS KUJIINGIZA KATIKA SIASA-MWAKYEMBE
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria, Mhe. Dkt Harrisson Mwakyembe amesema Serikali haiwezi kuona Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kinajiingiza katika siasa na kama TLS wanataka hivyo, basi Serikali haitasita kuifuta Sheria ya TLS Sura ya 307 iliyoanzisha chama hicho cha Wanasheria.
DKt Mwakyembe alikuwa akizungumza hayo na ugeni wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) uliokwenda kumtembelea Ofisini kwake mjini Dodoma ukiongozwa na Rais wao Bw. John Seka.View attachment 477476 View attachment 477477
My take ==Hayo mamlaka ya kufuta Chama cha Wanasheria Tanganyika Mwakyembe anayatoa wapi?
Wakili msomi Joseph Kinango alisema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata kabla Mwakyembe hajalitamka. Yani wakati Mwakyembe anafikiria kutamka tayari lilikua batili.
Ndiyo mwakyembe amepewa jengo la ofisi pale humanity udom wanatumia jengo moja na kairuki, hilo linaloonekana pichaniMimi habari yote sijaisoma nimeangalia hayo majengo tu, naona kama ni ya UDOM, kwa hiyo wizara inatumia majengo ya UDOM?????!!!!!
Hicho ni kijengo kimojawapo pale udom nilikuwa hakitumiki wamepewa waoNdo hasara za kuhamia Dodoma kwa kukurupuka bila kujipanga
HATUTAKUBALI TLS KUJIINGIZA KATIKA SIASA-MWAKYEMBE
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria, Mhe. Dkt Harrisson Mwakyembe amesema Serikali haiwezi kuona Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kinajiingiza katika siasa na kama TLS wanataka hivyo, basi Serikali haitasita kuifuta Sheria ya TLS Sura ya 307 iliyoanzisha chama hicho cha Wanasheria.
DKt Mwakyembe alikuwa akizungumza hayo na ugeni wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) uliokwenda kumtembelea Ofisini kwake mjini Dodoma ukiongozwa na Rais wao Bw. John Seka.View attachment 477476 View attachment 477477
My take ==Hayo mamlaka ya kufuta Chama cha Wanasheria Tanganyika Mwakyembe anayatoa wapi?
Wakili msomi Joseph Kinango alisema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata kabla Mwakyembe hajalitamka. Yani wakati Mwakyembe anafikiria kutamka tayari lilikua batili.
Naona wanatokwa na mapovu sana