Mwakyembe asisitiza: Hatukubali TLS kujiingiza katika siasa

Mwakyembe asisitiza: Hatukubali TLS kujiingiza katika siasa

Hofu kubwa kwa CCM wanamwogopa sana Tundu Lissu.
Come on..really?

Aogopwe kwani yeye ana nini hasa?

Ana uwezo gani hasa ulio wa kipekee sana hadi aogopwe?

Kwa maoni yangu Mwakyembe ana hoja nzuri kabisa sema tu labda hapo awali alikosea namna ya kuiwasilisha.

Lakini kusema kwamba sijui wanamwogopa Lissu...give me a break!
 
Nashangaa Katiba ya TLS haina kipengere cha kuwafuta wapumbavu kama hawa.

Sasa TLS ikiwafuta watu kama hao huoni kama itakuwa inafanya kilekile ambacho serikali ya CCM inakifanya?

Nuts!!
 
Come on..really?

Aogopwe kwani yeye ana nini hasa?

Ana uwezo gani hasa ulio wa kipekee sana hadi aogopwe?

Kwa maoni yangu Mwakyembe ana hoja nzuri kabisa sema tu labda hapo awali alikosea namna ya kuiwasilisha.

Lakini kusema kwamba sijui wanamwogopa Lissu...give me a break!
Mkuu beba box ukalale inaonyesha umechoka sana hadi akili haifanyi kazi.
 
Eti kuna wanasheria wenye PHD halafu nchi inasaign mikataba bogus...

Mikataba Bogus inatoka wapi wakati hawa PHD lawyers wapo? (MwakyMango na Tulia)
 
Sasa TLS ikiwafuta watu kama hao huoni kama itakuwa inafanya kilekile ambacho serikali ya CCM inakifanya?

Nuts!!
Embu toa ushauri wako mkuu na wewe tukusikie kwa maana naona si baridi si moto.

Serikali unaiponda na Upande mwingine vilevile. Embu tuambie ulitaka iweje?
 
Come on..really?

Aogopwe kwani yeye ana nini hasa?

Ana uwezo gani hasa ulio wa kipekee sana hadi aogopwe?

Kwa maoni yangu Mwakyembe ana hoja nzuri kabisa sema tu labda hapo awali alikosea namna ya kuiwasilisha.

Lakini kusema kwamba sijui wanamwogopa Lissu...give me a break!
aya njoo uchukue buku tano alafu upite hivi[emoji116]
 
Yaani wanasheria wakiingia huu mkenge wa Serikali basi nitawadharau kabisa na nitapoteza kabisa hata matumaini kidogo niliyonayo kwa sasa.
 
Viongozi wanafiki na vioja vya mwakyembe!

Huyu anaweweseka kwani amepata habari kuwa huo uwaziri wa sheria anapewa Palamagamba na yeye anakwenda bench!!! Uchaguzi wa 2020 huko Kyela wala hawataki kusikia jina lake!!!
 
Back
Top Bottom