Mwakyembe asisitiza: Hatukubali TLS kujiingiza katika siasa

Awamu hii ni waoga hao, haijawahi tokea. Haya pelekeni mswaada bungeni miifutilie mbali TLS, nchi si yenu bwana nani wa kubisha
 
Sidhani serekali ama hata ccm inamuogopa Lissu, ila ukweli ni kuwa Lissu hana nia nzuri na TLS.

This is the master plan of Chadema , kuitumia TLS kuwa mdomo au kipaza sauti cha upinzani kwenye siasa, na jambo hilo litakiharibu hiyo taasisi huru.

Tuwe watu wenye akili na busara, Wanasiasa wote umuhimu kwao ni kiti chao mengine yote ni geresha toto.
 
Wewe unayajua malengo ya TLS?
Ukiulizwa leo hii, TLS imewahi kufanya nini,miongoni mwa majukumu yake?
BTW, hao waliopo madarakani sasa hapo TLS, unajua affiliation yao kwa CCM? au kwakuwa ni Tundu Lissu anagombea? Je si haki yake?
 
HATUTAKUBALI TLS KUJIINGIZA KATIKA SIASA-MWAKYEMBE

Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria, Mhe. Dkt Harrisson Mwakyembe amesema Serikali haiwezi kuona Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kinajiingiza katika siasa na kama TLS wanataka hivyo, basi Serikali haitasita kuifuta Sheria ya TLS Sura ya 307 iliyoanzisha chama hicho cha Wanasheria.

DKt Mwakyembe alikuwa akizungumza hayo na ugeni wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) uliokwenda kumtembelea Ofisini kwake mjini Dodoma ukiongozwa na Rais wao Bw. John Seka.View attachment 477476 View attachment 477477
My take ==Hayo mamlaka ya kufuta Chama cha Wanasheria Tanganyika Mwakyembe anayatoa wapi?

Wakili msomi Joseph Kinango alisema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata kabla Mwakyembe hajalitamka. Yani wakati Mwakyembe anafikiria kutamka tayari lilikua batili.
hii nchi ina wasomi wa hovyo sana, huwa hawaamini walichokisoma.Ndio maana nadharau sana degree za watu wa nchi hii. Ukijiuliza anataka achieve nini huwezi hata jua.Ila msomi anashupaa katika ujinha bila aibu.
 
Wakili msomi Joseph Kinango alisema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata kabla Mwakyembe hajalitamka. Yani wakati Mwakyembe anafikiria kutamka tayari lilikua batili.

Wakili msomi Joseph Kinango alisema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata kabla Mwakyembe hajalitamka. Yani wakati Mwakyembe anafikiria kutamka tayari lilikua batili.
Ana maana kwamba serikali itapeleka msuada bungeni wa kufuta hiyo sura 307. Kila mtu anajua kuwa sheria hutungwa na bunge na kwamba zinaweza kufutwa au kufanyiwa marekebisho na bunge. Na kwamba ili muswaada uliopitishwa na bunge ili uwe sheria lazima rais aukubali (has to assent). Pia misuada kwa kawaida huandaliwa na serikali na kupelekwa bungeni. Na kwamba kwa sasa 75% ya wabunge wanatoka chama tawala hivyo Mwakyembe anauhakika kuwa serikali ikipeleka muswaada bungeni wa kuifuta sura 307 iliyoanzisha TLS muswaada huo utapita na rais ata assent. Sasa kuna ugumu gani wa kuelewa kile anachomaanisha Dr Mwakyembe?
 
Come on..really?

Aogopwe kwani yeye ana nini hasa?

Ana uwezo gani hasa ulio wa kipekee sana hadi aogopwe?

Kwa maoni yangu Mwakyembe ana hoja nzuri kabisa sema tu labda hapo awali alikosea namna ya kuiwasilisha.

Lakini kusema kwamba sijui wanamwogopa Lissu...give me a break!
Then how do you explain the comedic charges on which the police arrested lissu today? Kama sio uoga ni kitu gani?
 
katika wasomi ma bwege nchi hii huyu ni mmoja wapo
 
Sidhani serekali ama hata ccm inamuogopa Lissu, ila ukweli ni kuwa Lissu hana nia nzuri na TLS.

This is the master plan of Chadema , kuitumia TLS kuwa mdomo au kipaza sauti cha upinzani kwenye siasa, na jambo hilo litakiharibu hiyo taasisi huru.

Tuwe watu wenye akili na busara, Wanasiasa wote umuhimu kwao ni kiti chao mengine yote ni geresha toto.
Kwani mkuu Lissu hana haki ya kugombea uraisi TLS?
 
Ikiwa Sheria inawapa uhalali wa kufanya haya Kulikuwa kuna haja gani ya hawa viongozi wa TLC kwenda Dodoma kuonana na Waziri? Hofu yao nini?

Unafiki na njaa.Tumbo ni balaa.Mijitu kama.hiyo haistahili kuitwa Mawakili. Wapumbavu kabisa.
 
HATUTAKUBALI TLS KUJIINGIZA KATIKA SIASA-MWAKYEMBE

Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria, Mhe. Dkt Harrisson Mwakyembe amesema Serikali haiwezi kuona Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kinajiingiza katika siasa na kama TLS wanataka hivyo, basi Serikali haitasita kuifuta Sheria ya TLS Sura ya 307 iliyoanzisha chama hicho cha Wanasheria.

DKt Mwakyembe alikuwa akizungumza hayo na ugeni wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) uliokwenda kumtembelea Ofisini kwake mjini Dodoma ukiongozwa na Rais wao Bw. John Seka.View attachment 477476 View attachment 477477
My take ==Hayo mamlaka ya kufuta Chama cha Wanasheria Tanganyika Mwakyembe anayatoa wapi?

Wakili msomi Joseph Kinango alisema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata kabla Mwakyembe hajalitamka. Yani wakati Mwakyembe anafikiria kutamka tayari lilikua batili.
Hivi Tundu Lissu angekuwa Mbunge wa Chama tawala haya anayozungumza Waziri angeyasema kwa nguvu Ile Ile?
 
HATUTAKUBALI TLS KUJIINGIZA KATIKA SIASA-MWAKYEMBE

Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria, Mhe. Dkt Harrisson Mwakyembe amesema Serikali haiwezi kuona Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kinajiingiza katika siasa na kama TLS wanataka hivyo, basi Serikali haitasita kuifuta Sheria ya TLS Sura ya 307 iliyoanzisha chama hicho cha Wanasheria.

DKt Mwakyembe alikuwa akizungumza hayo na ugeni wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) uliokwenda kumtembelea Ofisini kwake mjini Dodoma ukiongozwa na Rais wao Bw. John Seka.View attachment 477476 View attachment 477477
My take ==Hayo mamlaka ya kufuta Chama cha Wanasheria Tanganyika Mwakyembe anayatoa wapi?

Wakili msomi Joseph Kinango alisema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata kabla Mwakyembe hajalitamka. Yani wakati Mwakyembe anafikiria kutamka tayari lilikua batili.
Ile sumu ilipunguzia iq sasa hana tofauti na makonda
 
Ana maana kwamba serikali itapeleka msuada bungeni wa kufuta hiyo sura 307. Kila mtu anajua kuwa sheria hutungwa na bunge na kwamba zinaweza kufutwa au kufanyiwa marekebisho na bunge. Na kwamba ili muswaada uliopitishwa na bunge ili uwe sheria lazima rais aukubali (has to assent). Pia misuada kwa kawaida huandaliwa na serikali na kupelekwa bungeni. Na kwamba kwa sasa 75% ya wabunge wanatoka chama tawala hivyo Mwakyembe anauhakika kuwa serikali ikipeleka muswaada bungeni wa kuifuta sura 307 iliyoanzisha TLS muswaada huo utapita na rais ata assent. Sasa kuna ugumu gani wa kuelewa kile anachomaanisha Dr Mwakyembe?
Mnasikitisha sana, Bado mko kwenye dunia ya ujima kabisa wasomi wa ccm
 
Mwambieni Mwakyembe, HATUTARUHUSU TLS KUWA WAKALA WA SERIKALI! NA KAMA HAWATUJUI, HATA YEYE TUTAMFUTILIA MBALI NA TUTAWEKA ZUIO LA YEYE KUIFUTA TLS!
 
Hapana chezea kitu kinaitwa "Lissufever" [emoji381] [emoji381] [emoji382] [emoji382] [emoji382]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naipenda Nchi yangu TANZANIA.
 
Nani ana PhD Thesis yake aiweke hapa?

Hivi na yy alianzia Diploma eeh?
Nasikia aliandika andiko la serikali moja. Ila bunge la katiba serikali tatu. Inamaana aliandika ngonjera sio kitu alichokifanyia research kubaini ukweli na kuuamini ukweli na kuuwakilisha kwa hoja nzito.
 
Back
Top Bottom