wasomi wa nchi hii ni kichefu chefu.......................
Tunaona huko kwa wenzetu, vyama vya kada mablimbali kama hii TLS vinavyosimama imara kutetea taaluma zao, lakini hivi vya kwetu hovyo kabisa. sijui kwa sbabu na nchi ni hovyo!!?
FIKIRIA, mkulu anasema mawakili watakaowatetea watuhumiwa wa mihadarati nao wawekwe ndani, TLS wanachekelea kama mazuzu