Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,244
- 4,014
Hakuna hata atakayebembeleza hapa.Kuna watu watabembeleza mwendelezo
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hakuna hata atakayebembeleza hapa.Kuna watu watabembeleza mwendelezo
EPISODE 1.
Nina mwezi mmoja tangu nifungwe gerezani miezi 18.
Bado natafakari jinsi gani nitaijulisha family yangu kwa yaliyonikuta.
Nilitokea Zurich Swiss kupitia France. Nilipanda Swiss Air to Charles degal airport Paris France.
Nilikamatwa kwa kosa la Money trafficking na kufungwa miezi 18 jela. Nilikuwa na euros 35000.
Ilikuwa j mosi tulivu, nilipotua airport Charles de gaulle ,,
lsikuona shida yeyote wala usumbufu wowote kutoka kwa askari wale.
Kumbe bila kujua wana taarifa zangu ambazo walishatumiwa kutoka Zurich airport na askari wa uwanjani pale.
Nilikuja kugunduwa hilo baadae.
Nilikuwa na pesa kwenye bag langu ziliwekwa kwa ustadi mkubwa Sana,
Sio rahisi kugundulika kwa haraka,
nilishangaa niliposhikwa bega kwa kuitwa majina yangu yote kamili na huku wale customs wana picha ya passport yng .
Waliniweka kwenye chumba maalum,
Wakanihoji na kuanzia kunipekuwa mwilini hata kwnye mabag yangu.
Hawa jamaa wapo advance sn ktk kupekuwa, wakikutaka hawakukosi.
Walianza kunihoji nafata nini Paris, nikawaambiya mm napita njia nakwenda zangu nyumbani. Africa.
Still hawakukubaliana na Mimi.
Itaendelea..
EPISODE 2.
Nipo mikononi mwa askari kitengo cha udhibiti wa custums(douane).
Nikishikiliwa kwa mahojiano.
Nakumbuka baada ya wale askari kunipiga bega na kunisimamisha,
Waliomba ticket yangu pamoja na passport yangu.
Lengo lao ni kuangalia route nzima ya safari yangu.
Do you have anything eligal things like drugs, Ashish, marijuana,dirty money nk.
La Chief aliuliza,
Nikamjibu mm sina chochote humo.
Wakati wao wapo busy na kukaguwa mabag yng nikapata wasaa wa kufuta namba pamoja na sms zote za watu wa ulaya ambao nilikuwa nawasiliana nao na wengine wapo ktk phone contact zng .
DK 5 nikawa nimefuta conservation zote za watu wangu muhimu,,
Maana hata Kama kuna jamaa alinibeep Tu,,ujuwe angetafutwa.
.nilifanya hivyo sababu nilijuwa nikipata tatizo lolote pale France wangewasumbuwa wote waliokuwa kwenye contact list zangu kwa waishio ulaya.
-A good captain always sink with his ship..
Niliamua kuzama na meli yngu ili nisimsababishie yeyote matatizo..
Jamaa walitoa nguo zote pale kwenye mabag yangu ,,
search ikaanza .
Jamaa walianza kwa kuliinuwa juu bag likiwa tupu.
Nina maana kulipima uzito kwa mkono.
Wakalichukuwa wakalipitisha kwenye snanner machine yao ndogo iliyopo pale chumbani,
Nadhani hawakuona kitu.
Wakalichukuwa bag tena, wakalisimamisha likiwa tupu.
Bag lilianguka upande mmoja..
Walihangaika kama nusu saa hivi bila kujuwa bag lina kitu cha ziada ndani.,,huku mm nawaangalia kwa jicho la wizi nisigundulike.
Namlaani Sana mmoja wa Askari wale ,,ambaye alikuwa mweusi.
Jamaa aliongoza mashambulizi ya kukaguwa bag,,bila kuchoka.,jamaa ni kama alitaka kunitoa nishai.
Jamaa aling'ang'ania bag langu kama katangaziwa zawadi.
Hatimae jamaa akatamka humu kuna kitu ndani ya bag.
Wht is inside the bag?
Jamaa aliuliza..
Nikawajibu .
My bag is empty...there is nothing inside.
Jamaa wakaja na tools box DK 5 bag limechanwa lote.
Hatimae kibunda chote hadharani.
Pale pale jamaa wakanitia Pingu..
Whts that? Drugs?
Nikawajibu mm sijuwi chochote kuhusu hicho kitu..
Pale pale chumbani waliongezeka Askari wengine ikawa kama nipo kwenye maonyesho.
Wengine wakinichukuwa video kwa simu zao,,
Huyu kaongea hivi,,mara vile..mradi tu ndy nimeshakamatwa,nikawa kama kituko.
Askari walijiridhisha ni pesa cash euros 35000 ,+ wallet yng nilikuwa na euros 1700 zikachanganywa.
Whose money are these?
Nikawajibu pesa mm sizijuwi,,Hilo bag nimepewa na rafiki yng niweke nguo..
Kilichopo humo mm sikitambui.
Jamaa wakachek passport yangu,,muda na days nilizokaa Europe,.
Date of entry.
Akasema.
Do you deal with drugs?
Nikawajibu no?
Akasema inaonekana hapa europe
Una kama mwezi mmoja hivi.
How did you get this amount?
Twambiye nani kakupa hizi pesa,,au twambiye una deal na nani?
Nikawajibu na deal nn?
Tunajuwa wewe unaishi Africa,,hapa Paris unakuja kwa nani?
Twambiye ,,tunajuwa wewe pesa sio zako..
Walihitaji nionyeshe ushirikiano ili niwamalize wengine.
Bado nikakomaa hilo bag nimepewa na jamaa uswis niweke vitu tu,,nipeleke Africa.
If you deny this bag you will be in Trouble my friend.
Accept the bag then let the judge decide.
Judge will let u go..or pay the penalt.
Yule mkubwa wa kitengo alinambiya nisisumbuwe mahakama,,nikubali bag.
Still nikasema sijuwi chochote kuhusu bag.
Nikaandika maelezo,,then nikakabidhiwa kwa police,
Kituo kikuu cha police Paris.
Itaendelea..
Mkuu huo ni mfumo ambao watu wengi huutumia kusafirisha pesa.
Tht was my bad luck day....
Ulaya pesa iliyozidi euros 9000 ukiwa nazo mfukoni bila maelezo ni suspect..
9000 ndy limit ya kuwa na cash mfukoni
Kama ni Italy tayari Una kesi ya kujibu umezitoa wp.
Matako yako.
Mkuu wacha kushupaza shingo.ingia Google angalia Sheria za France ktk money trafficking,au smuggling..Hauna Kesi ya kujibu, una declare tu na unasema chanzo; hiyo sio kesi na wala wewe sio suspect
Unajuwa chochote kuhusu money smuggling?Acha kuangalia vipindi vya border control ndo vinakusumbua; kukutwa na hela sio kosa, zikizidi you just declare
Unajuwa chochote kuhusu money smuggling?
Unazijuwa Sheria za France?
Katika money smuggling?
Shemeji yako alikupa pesa za bandle ingia Google.
Utajuwa hujuwi.
Ingia Google uliza sentence for money trafficking., France.Ungeona passport yangu usingethubutu kusema hayo, pale ambapo umesafiri Mara 2 na kuona wengine Ni hewa; we have traveled the world Dogo, na sio Kwa Kazi au kulipiwa; hapana, mke na watoto every year different country! And we carry cash, but follow the rules! Idiot!
lete mwendelezo achana na Ma KIngia Google uliza sentence for money trafficking., France.
Au shemeji yako hajakupa pesa ya bandle.?
Wewe huna ujuwacho kuhusu safari.
Mimi ni baharia wa inchi kavu na majini.
Nimeshasafiri safari chafu na salama.
Hapo nakwenda jela passport yangu ina viza za ulaya 4
Italy.
Spain.
France..
Na hyo ni passport yangu mpya ya 5.
Nimeshakaa Greece,,Turky. Nk.
India nk.