Mwaka mmoja ndani ya Merigos Fleury Prison

Mwaka mmoja ndani ya Merigos Fleury Prison

Ukizinguwa lazima ukalishwe.
Screenshot_2022-01-08-09-12-17-732_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
 
Kitabu chochote cha story huenda nikaanza mwisho halafu kinajielezea kwa ndani story ilivyokuwa.

Sababu ya ujuwaji mwingi hamtajifunza chochote.
Samahani sikujua kuwa ni stori lnilidhani kuwa ni tukio la kweli.
Eehee, stori njoo..
 
Wataalam wanadai marinda ya mtu mzima Yana weza kuhifadh kama Dollar elfu hamsini hivi zikisimkwa kwa ustadi.

Hizo body scanner haziwezi detect kwasabab ya ile gesi ya Marinda carbon nitrate phosphate ina reaction flan hivi za atoms ambazo zinaproduce anti radioactive.

T14 Armata
Hahahaha.. We jamaa utakuwa chizi.com
 
Back
Top Bottom