Mwaka mmoja ndani ya Merigos Fleury Prison

Mwaka mmoja ndani ya Merigos Fleury Prison

Jela za ulaya ni Royal Tour Hotels, hawakunyang'anyi kitu, ila huyu anasema mwaka mmoja ambao unageuka kuwa mwezi mmoja!
Kitabu chochote cha story huenda kikaanza mwisho halafu kinajielezea kwa ndani story ilivyokuwa.

Sababu ya ujuwaji mwingi hamtajifunza chochote.
 
Wanaweka matakoni au
Hizo ni Africa.
Ulaya simu zinaletwa na walinzi wenyewe pamoja na wanaosambaza chakula selo.

Au zinaletwa pale tunapokutana wafungwa uwanjani.

Au tunapokutana shule,,au library gym nk.

Usishupaze shingo kwa mtu msiyemjuwa.
Rejea post zng nying mm siletei vitu vya vijiweni.

Hii ni true story.
 
Umesahau kuwa kila kituo cha ndege kina body scanner.
Wataalam wanadai marinda ya mtu mzima Yana weza kuhifadh kama Dollar elfu hamsini hivi zikisimkwa kwa ustadi.

Hizo body scanner haziwezi detect kwasabab ya ile gesi ya Marinda carbon nitrate phosphate ina reaction flan hivi za atoms ambazo zinaproduce anti radioactive.

T14 Armata
 
Mkuu hizo pesa ungeziweka katika mfumo wa crypto currency...

Kwisha habari ,unatembea na mabilion yamo kwenye trust wallet na hakuna ayejua ...
 
Hapo ni uwanjani( la promenade) hapo ndy watu hukutana na kuzungumza na hata kufanya biashara.
Na hapo ni hatari zaidi kama ukiwa na makundi au snitch.

Kipigo kitakuhusu.
Mergos Fleury.View attachment 2073359
Screenshot_2022-01-08-09-13-58-322_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
 
Mkuu hizo pesa ungeziweka katika mfumo wa crypto currency...

Kwisha habari ,unatembea na mabilion yamo kwenye trust wallet na hakuna ayejua ...
Mkuu huo ni mfumo ambao watu wengi huutumia kusafirisha pesa.

Tht was my bad luck day....
Ulaya pesa iliyozidi euros 9000 ukiwa nazo mfukoni bila maelezo ni suspect..

9000 ndy limit ya kuwa na cash mfukoni
Kama ni Italy tayari Una kesi ya kujibu umezitoa wp.
 
Hii ni true story na sasa sipo jela nipo uraiani nafanya kazi za meli.

Hilo ni tukio limetokea 3 years ago.
Sababu ujuwaji ni mwingi basi story naishia hapa..
Kuna watu watabembeleza mwendelezo
 
Wataalam wanadai marinda ya mtu mzima Yana weza kuhifadh kama Dollar elfu hamsini hivi zikisimkwa kwa ustadi.

Hizo body scanner haziwezi detect kwasabab ya ile gesi ya Marinda carbon nitrate phosphate ina reaction flan hivi za atoms ambazo zinaproduce anti radioactive.

T14 Armata
Halafu mtu akufanyie dhulma juu ya pesa uliyoivusha kwa taabu namna hiyo kweli?🦏
 
Back
Top Bottom