Mwaka mmoja ndani ya Merigos Fleury Prison

Mwaka mmoja ndani ya Merigos Fleury Prison

Katika swala kama hili, ndio umuhimu wa BTC huonekana.

Kwa ulimwengu wa sasa fedha hutolewa taifa moja kwenda lingine katika mfumo wa BTC
Tatzo BTC haipo stable, dakika moja ime rise dakka sfuri imeshuka.

Alafu pia ili kuweka pesa kwny wallet yako ya BTC ni lazma uwe na bank account then you transfer money from bank to ur BTC wallet,,,,sasa huyu angewezaje kufungua account bank kwny nchi ya watu? (I assumed he had no Id for the particular country)
 
Nina mwezi mmoja tangu nifungwe gerezani miezi 18.
Bado natafakari jinsi gani nitaijulisha family yangu kwa yaliyonikuta.

Nilitokea Swiss kupitia France .
Nilipanda Swiss air to Charles degal airport Paris France.
Nilikamatwa kwa Money trafficking na kufungwa miezi 18 jela..
Nilikuwa na euros 35000,,

Ilikuwa j mosi tulivu,,nilipotua airport Charles degal sikuona shida yeyote wala usumbufu wowote kutoka kwa askari wale.
Kumbe bila kujuwa wana taarifa zangu ambazo walishatumiwa kutoka Zurich airport na askari wa uwanjani pale.
Nilikuja kugunduwa hilo baadae.

Nilikuwa na pesa kwenye bag langu ziliwekwa kwa ustadi mkubwa Sana,
Sio rahisi kugundulika kwa haraka,
nilishangaa niliposhikwa bega kwa kuitwa majina yangu yote kamili na huku wale customs wana picha ya passport yng .

Waliniweka kwenye chumba maalum,
Wakanihoji na kuanzia kunipekuwa mwilini hata kwnye mabag yangu.
Hawa jamaa wapo advance sn ktk kupekuwa,,
Wakikutaka hawakukosi.,

Walianza kunihoji nafata nn Paris,,nikawaambiya mm napita njia nakwenda zangu nyumbani.. Africa.

Still hawakukubaliana na Mimi.

Itaendelea..
nitarudi kusoma
 
BTC ni kama mfano tu, lakini kwenye swala la ku_transfer fedha zipo crypto zilizo stable zaidi.

Kumbuka lengo ni kuhamisha toka taifa moja kwenda taifa jingine kiusalama na sio kuhifadhi kwa muda mrefu.
Waambie hao tatzo wengi wanawaza cryptocurrency ni utapeli. Hzo pesa angeweza kuziweka sio BTC tu, angeweka kwny stable coin km USDT, BUSD, USDCoin
 
Tatzo BTC haipo stable, dakika moja ime rise dakka sfuri imeshuka.

Alafu pia ili kuweka pesa kwny wallet yako ya BTC ni lazma uwe na bank account then you transfer money from bank to ur BTC wallet,,,,sasa huyu angewezaje kufungua account bank kwny nchi ya watu? (I assumed he had no Id for the particular country)
Mkuu kwa ulaya ukituma pesa nyingi bila maelezo yeyote wanai block .

Ili wakuchunguze kwnza.
 
Ikiwa stori zako ni kweli, wewe jamaa usipoangalia na kubadili mfumo wa maisha utafia jela tena nchi za watu.
Uwape kazi ubalozi ya kukusafirisha.
Hii ni true story na sasa sipo jela nipo uraiani nafanya kazi za meli.

Hilo ni tukio limetokea 3 years ago.
Sababu ujuwaji ni mwingi basi story naishia hapa..
 
Back
Top Bottom