Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,288
.....MOTOCHINI uje huku
......bando Mkuu
.....MOTOCHINI uje huku
Nchi ni TANZANIA.Endelea kujipa moyo
.......Tambala la deki upo?! Povu ni kuhusu jambazi na tapeli mamvi.
Tatizo wana mtandao mnadhani ndiyo wananchi walivyo mtaona chaguzi ndogo mtakavyolia. Ishara tosha 2020Wana jamvi heri ya X-MASS,huku tukiwa tunasherehekea mwaka mmoja wa serikali mpya madarakani hali ya ccm inazidi kudhoofu na huku ikikizidi kupoteza mvuto na wafuasi wengi na upinzani ukizidi kujiimarisha kisayansi zaidi.nawashauri wana ccm wana endelea kuugulia maumivu tumboni wahamie upinzani tu kwani kuhama chama hutakiwi kumuaga mjumbe wa nyumba kumi wala haubebi masanduku
Anayekutawala sasa na kukusomesha namba ni nani? Mwaka 2020 siyo mbali. Anzeni mikakati lakini hii ya kujifariji mitandaoni eti CCM ilishakufa 2020 itafika na mtapigwa tena; na mtaendelea kulalamika mitandaoni miaka na miaka. Mnakera!!!Ccm alikufa nayo baba wa taifa
Mnao kera ni nyinyi madebeAnayekutawala sasa na kukusomesha namba ni nani? Mwaka 2020 siyo mbali. Anzeni mikakati lakini hii ya kujifariji mitandaoni eti CCM ilishakufa 2020 itafika na mtapigwa tena; na mtaendelea kulalamika mitandaoni miaka na miaka. Mnakera!!!
Hakuna kuhamaNchi ni TANZANIA.
Rais ni JOHN POMBE MAGUFULI.
Chama tawala ni CCM.
NB:Km hupendi ama kufa au hama nchi.
......
Lakini alikuwa online saa kumi huyu......
.......Christmas ugali maharage
Wasomi hawakai uraian na ninacho jua Tanzania haina wasomiKwahiyo shule zipo kwenye makambi ya jeshi?