Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,490
- 96,054
Wana jamvi heri ya X-MASS,huku tukiwa tunasherehekea mwaka mmoja wa serikali mpya madarakani hali ya ccm inazidi kudhoofu na huku ikikizidi kupoteza mvuto na wafuasi wengi na upinzani ukizidi kujiimarisha kisayansi zaidi.nawashauri wana ccm wana endelea kuugulia maumivu tumboni wahamie upinzani tu kwani kuhama chama hutakiwi kumuaga mjumbe wa nyumba kumi wala haubebi masanduku