Mwaka mmoja CCM kwisha

Inaonekana wapinnzani wamechanganyikiwa vibaya hata wanaloongea halieweki.Hivi mwenye akili anaweza kulinganisha upinzani na CCM
CCM ni CCM na Upinzani ni upinzani lakini maisha ya kipato cha wananchi wa chini yamezidi kuwa magumu tunaosafiri mikoani tunayaona mliopo dar hasa Lumumba hamwezi yaona.Ugumu wa maisha ndio picha halisi ya chama kupendwa au kutopendwa tutaijua mbeleni.
 
Mkuu hiyo haipo mbali ili mradi ccm waamini bila kutumia mabavu
 
Issue hapo ni muda to hata kanu kenya haipo tena
so ukifika muda ukisikia nyuma geuka wakwanza anakuwa wa mwisho na wamwisho anakuwa wakwanza
 
Back
Top Bottom