Mwaka mmoja CCM kwisha

Mwaka mmoja CCM kwisha

Ni kweli kabisa, tena sisi tunanyang'anyana wanachama. Mfano: kafulila kurudi CDM, Lipumba karudi CUF, MACHALI katoka CCM kaenda NCCR nk nk nk
He he he he he he!
 
Hakuna mtu wa kuhama sasa hivi, ahame aende wapi? kuna chama tena cha upinzani.
 
Siyo kwa uzembe huu wa Upinzani wa Tanzania!! Labda 2055
Hapana, upinzani sio wazembe ila ccm kila kukicha inahakikisha kila aliyeko kwenye system kwa % nyingi kama sio zote anakua upande wao, na hata kama hawana mtu mwenye mvuto wanamtaji ambao wapinzani hawana,( majeshi yote ya ulinzi, wafanyakazi %kubwa, wafanyabiashara % kubwa wako upande wa ccm bila kupenda ndo maana tunasema ni kazi ngumu sana kuwaondoa madarakani.

labda wapinzani wabuni njia mbadala sio hii ya kupitia kura
 
Wana jamvi heri ya X-MASS,huku tukiwa tunasherehekea mwaka mmoja wa serikali mpya madarakani hali ya ccm inazidi kudhoofu na huku ikikizidi kupoteza mvuto na wafuasi wengi na upinzani ukizidi kujiimarisha kisayansi zaidi.nawashauri wana ccm wana endelea kuugulia maumivu tumboni wahamie upinzani tu kwani kuhama chama hutakiwi kumuaga mjumbe wa nyumba kumi wala haubebi masanduku
Shibe ya xmas imekulevya aisee, pole sana
 
Sasa hivi ili kuwadanganya wadanganyika wanajidai kushi kana uchawi wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama eti kuwajibishana
 
Hapana, upinzani sio wazembe ila ccm kila kukicha inahakikisha kila aliyeko kwenye system kwa % nyingi kama sio zote anakua upande wao, na hata kama hawana mtu mwenye mvuto wanamtaji ambao wapinzani hawana,( majeshi yote ya ulinzi, wafanyakazi %kubwa, wafanyabiashara % kubwa wako upande wa ccm bila kupenda ndo maana tunasema ni kazi ngumu sana kuwaondoa madarakani.

labda wapinzani wabuni njia mbadala sio hii ya kupitia kura
Umeongea ukweli mtupu juu ya makundi ya wapiga kura lkn kwa sasa wafanyakazi,wakulima walio wengi ni adui no wa ccm
 
Na muungwana huwa hatukani licha ya hiyo sheria ya makosa ya mtandao
Mkuu kwema? Tangu enzi za uchaguzi hujapunguza spidi. Kweli wewe ni kamanda! Wakati ule wa uchaguzi 2015 tulikuwa na mihemko ya ajabu na kama niliwahi kukutukana nisamehe mkuu. Sasa niko tofauti kidogo kifikra, kimtazamo na hata kiimani. Kutofautiana ni jambo la kawaida na tunaweza kuhitilafiana kiitikadi lakini bado tukasemeshana na kuhojiana kwa heshima bila kutukanana. Nakutakia Mwaka mpya (2017) wenye heri kwako pamoja na wapendwa wako.
 
Mkuu salute sana maana siasa ni sehemu ya maisha nawe nakutakia kila la kheri kwenye mwaka unaokuja wa 2017
 
Back
Top Bottom