Umetoka mapovu mengi sana ! Kisa nini ?Kwani Lowassa ndio Mgombea wa CDM tayari? Ikulu mtaisikia tu kama yeye ndiye Mgombea! CCM haiwezi kuondolewa na makapi yake hata siku moja na mazingira ya 2015 hayatakuwa sawa na 2020!
Aahaaaa unaona sasa vidole tu vinakuangaishaWw hata si wakutupa tabu sisi kamba yenyewe mguuni haijakutoka!
Kumbe ulikuwa na msomi itakuwa mlipita mashuleni sio uraianNimemshirikisha yule msomi wetu maalufu wa kilumumba
Maalufu=,maarufu??Nimemshirikisha yule msomi wetu maalufu wa kilumumba
Muulize m.a.m. yakoHivi kwan CCM ndio takataka gani hiyo
Wazee wa ndoto.......Cdm inawatoa mapovu kila kukicha
Huna jipya mzaliwa na fungu la kukosaCdm inawatoa mapovu kila kukicha
.......wezi wamebanwa, fedha zimeadimika mitaani. Kipi ? Bora, Raisi akubali wizi fedha zitapakae mitaani au akatae wizi ziadimike mitaani . NB: UKIFUNGULIA MAJI KWA WINGI KWENYE BWAWA WATU WATANEEMEKA KWA MUDA MFUPI, LAKINI UKIFUNGULIA KWA VOLUME SAHIHI WATU WATANEEMEKA MAISHA, WIZI HAUKUBALIKI
Tambala la deki upo?! Povu ni kuhusu jambazi na tapeli mamvi.Umetoka mapovu mengi sana ! Kisa nini ?