Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,011
- 150,548
Sasa hapo tatizo linategemeana mkuu ndo maana kila tatzo linakuwa na code zake ...la mvua au hali ya hewa kubadilika nahisi ukimpata fundi mzuri linatatulika ...Tatizo la kufunga dish na signal strength huwa halisubiri mvua, matangazo huwa yanakata immediately. Nilishapata hilo tatizo na channel ya kwanza kukata ni ss3 na nikawauliza kwanini hii ndio huwa inakata wakaniambia kwasababu ina frequency nyingi.