Mvua na dishi la Dstv kusumbua

Mvua na dishi la Dstv kusumbua

Hii ni zuga ya muda ili watu wanunue.
hata mimi nimekuja kustuka ni hivyo maana...kuna kipindi huwaga wanafungua chaneli zote kali halafu baada ya muda wanafunga,wanakuachia zile za kifurushi chako
 
hata mimi nimekuja kustuka ni hivyo maana...kuna kipindi huwaga wanafungua chaneli zote kali halafu baada ya muda wanafunga,wanakuachia zile za kifurushi chako
Yes mimi nashangaa tu.. Nahisi inafanyiwa promotion. So unajua tunaelekea kombe la dunia
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Bora nyie mi changu ikishakaa muda bila signal kwa ajili ya mvua inaanza kuscan upya [emoji30][emoji30]
 
Bora nyie mi changu ikishakaa muda bila signal kwa ajili ya mvua inaanza kuscan upya [emoji30][emoji30]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Duu aise kwani si wanamafundi wao [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole nacheka kama mazuri ila nakuonea huruma
 
Yaani kesho tu nikiamka nakata kopo nifunike kale kadubwasha maana muda huu mvua inanyesha na sisi mbeya huku hatuna kiangazi mvua muda wote.Dstv imenisumbua huenda huu ukawa mwarobaini.
 
Mkuu, inakata baadhi ya channels au kila kitu kinakata?
Mvua ikiwa kubwa inakata channels zote. Siku weather ikiwa nzuri signal zikishuka inakata channels chache kama SS3.
 
Back
Top Bottom