Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,700
- 33,892
ntajaribu hiyo,maana nilishaanza kukata tamaa na hii biashara ya dstvShida kubwa dishi mnafunga kwenye MBAO na ndo maana linayumba. Mi nimetengeneza zege juu ya slab na kuweka bolts nne, moja kwenye kila kona na zikakauka na zege, then dishi likafungwa hapo. No kuyumba.
Tatizo la mvua kama aliloleta mtoa mada nami huwa nalipata... Ila nitajatibu alichoshauri mmoja hapo juu, kufunika LNB Kwa kopo la plastiki