Mvua na dishi la Dstv kusumbua

Mvua na dishi la Dstv kusumbua

Mvua inaponyasha dstv yangu inakata kabisa hata kama ni kidogo alafu muvi kali
Kukata kabisa hata kama mvua ni kidogo, hilo ni tatizo mkuu. Fanya mpango uite fundi akurekebishie position ya dish. Au wafuate pale ofisini kwao uondoke na fundi wa hapo
 
Mvua inaponyasha dstv yangu inakata kabisa hata kama ni kidogo alafu muvi kali
Dah chalii yangu poleni sana wananchi wa thed weld countries yani mnateseka sana. Asubuhi mchana nzi usiku mbu na kunguni. And the funny thing you can afford to smile and laugh with an empty stomach.

JIWE must go
 
Kawaida sana hasa DSTV na sio vin'gamuzi vingine...
 
mi kuna fundi,kila ikinyesha kaupepo kanapuliza kidogo linayumba,namwita anakula buku ten,sasa karibu afikishe hela ya kununua receiver mpya,najipanga kurudi kwenye cable maana atanifirisi huyu fundi
 
Tafuta fundi arekebishe,katika madishi bora dstv nayo bora pia,mvua mpaka iwe kubwa
 
Ni tatizo la ving'amuzi vyote pale mvua inaponyesha.
 
mi kuna fundi,kila ikinyesha kaupepo kanapuliza kidogo linayumba,namwita anakula buku ten,sasa karibu afikishe hela ya kununua receiver mpya,najipanga kurudi kwenye cable maana atanifirisi huyu fundi
Shida kubwa dishi mnafunga kwenye MBAO na ndo maana linayumba. Mi nimetengeneza zege juu ya slab na kuweka bolts nne, moja kwenye kila kona na zikakauka na zege, then dishi likafungwa hapo. No kuyumba.

Tatizo la mvua kama aliloleta mtoa mada nami huwa nalipata... Ila nitajatibu alichoshauri mmoja hapo juu, kufunika LNB Kwa kopo la plastiki
 
mi kuna fundi,kila ikinyesha kaupepo kanapuliza kidogo linayumba,namwita anakula buku ten,sasa karibu afikishe hela ya kununua receiver mpya,najipanga kurudi kwenye cable maana atanifirisi huyu fundi
Hahahaa.. ata mimi kuna mmoja alikua anakula sana pesa, nikaja kugundua huwa alifungi vizuri. Nikabadili fundi nikamwambia alitoe kwenye fisher board aweke kwenye ukuta ilifanyika drilling kabisa. Sasa nimesahau kabisa kuhusu signals kupotea.
 
Kwangu mpka mvua iwe kubwa sana ile ambayo inawahamisha wakazi wa jangwani ila baada ya muda mfupi signal zinarudi
 
Back
Top Bottom