Ndio wanakwambia. Hata ukiwapigia wanakuuliza kama kuna mvua au mawingu.Jamaa kakushauri technically sana ivo vidishi vidogo bado ni Changamoto sasa unafikiri dstv watakuambia kuwa wakati wa hali mbaya ya hewa uta loose signal???
Hii ndio hata mimi najua ndio tatizo. Ndio maana kama hamna mvua inakuwa sawa. Dish likiyba wala haisubiri mvua kuanza kuzingua.Tatizo sio dishi kuyumba tatizo ni Frequency zinazotumwa na Transponder Juu huko kuja chini Ni ndogo sana yani zina short wave length Ila high frequency ivo kupelekea even matone ya maji Kuzipata izo waves na kuzipindisha au kuzitoa kwenye line of sight
Yes wafanye utaratibu kama wa luku unakua charged tuu ukiwa unapokea matangazo...ukizima decoder au hizi za bad weather hakuna kua charged.Mimi nafikiri hizi system ziwe related, kwa mfano Tanesco wakikata umeme basi king'amuzi pia kisiendelee kuchajiwa,
69,000/=
Nasikia zipo CBD tu na sidhani kama wanawafikia DSTV kwa channels.
Hapo kwenye lnb umechanganya kidogo. Ni vice versaNi hivi, satellite dish nyingi zinazotumia LNB za Ku-band zinakuwab na matatizo hasa kukiwa na hali ya hewa mbaya, mvua nyingi, mawingu mengi. Tofauti na LNB za C-band ambazo zipo stable sana na signal strength inakuwa vizuri tu wakati wa mvua.
setilite siku zote hazina urafiki na bad weatherTatizo ni dish lako kuyumba na wala sio tatizo la dstv
Wewe hufahamu kabisa kinachotokea. Kama umesoma Physics utajua. Attenuation ni kubwa sana kwenye maji au mvua. Maji ni bad reflector kwenye signal. Hilo kopo linakaa juu, sana sana linafunika juu kuzuia kutu,mkuu chukua kopo la maji ukate nusu kisha uvalishe kwwnye ile LNB.
hivyo tunafanya uswahilini na haikatikati. ingawa hiyo kazi walipaswa kufanya maengineer ili tukinunua isilete shida na usumbufu huo. Sidhani kama huko duniani kuna hizo changamoto
Kweli kachanganya, nimemwambia hata kule juu.Hapo kwenye lnb umechanganya kidogo. Ni vice versa
Wala hajui hii topic Inasema niniHutumii dstv wewe...
mkuu nimesoma physics.Wewe hufahamu kabisa kinachotokea. Kama umesoma Physics utajua. Attenuation ni kubwa sana kwenye maji au mvua. Maji ni bad reflector kwenye signal. Hilo kopo linakaa juu, sana sana linafunika juu kuzuia kutu,
CBD=Central Business DistrictNikiwa mkoa flani nilishawahi kutumia Cable Services wanaitwa CTV ndo hao wako maeneo ya posta upanga na kisutu may be na kariakoo sina hakika kwa Dar huduma zao zinaishia eneo gani. Ila nnachojua hawafiki mwenge au moroko. Kuhusu channels wako vizuri sana naweza sema sambamba na DSTV maana wao wanakuwekea channels kibao na kipindi kile nilikuwa nalipia elf 15 napata channels hadi za kichina yaani kuanzia supersport magic movies hadi bollywood.
Sijajua hiyo CBD ni nini... Cable......
Tatizo la kufunga dish na signal strength huwa halisubiri mvua, matangazo huwa yanakata immediately. Nilishapata hilo tatizo na channel ya kwanza kukata ni ss3 na nikawauliza kwanini hii ndio huwa inakata wakaniambia kwasababu ina frequency nyingi.Mkuu lakini inategemea na ulivoifunga dishi lako hasa ile strength ya signal ...mafundi wanatofautiana make na mm mwanzoni ilikua inasumbua ikabidi nimpate fundi mwingine ...siku hizi huwa inakata with minute wako hewan baada ya signal sms ya hali ya hewa