RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,835
Mara nyingi mvua ikinyesha DSTV matangazo yanakatika. Kwa mwezi huu wa nne na masika hizi si ajabu mvua ikanyesha wiki nzima au mara tano kwa wiki na hapo hutaona matangazo ya DSTV.
Je hapo si sawa na mtu unalipia huduma na huipati? Afadhali Tanesco umeme ukikatika LUKU haisomi kwahio huliwi pesa bure. Mfano leo kuanzia mchana huku nilipo mvus inanyesha mwendo ni on off kwenye DSTV.
Kuna njia yoyote DSTV mnaweza kufidia siku ambazo matangazo yanakatika kwasababu ya mvua?
Cc TCRA