Hayo yote ni tisa tu Kibaya zaidi ni kwamba Azam hawatarusha kombe la dunia. Jiandae kisaikolojia mkuu.Kwangu hata Azam ni hivyo hivyo
So solution ni nini kubadili dish au kuomba setup za LNB C BABDNi hivi, satellite dish nyingi zinazotumia LNB za Ku-band zinakuwab na matatizo hasa kukiwa na hali ya hewa mbaya, mvua nyingi, mawingu mengi. Tofauti na LNB za C-band ambazo zipo stable sana na signal strength inakuwa vizuri tu wakati wa mvua.
Tatizo dstv.mawingu yanazuia signal.Tatizo ni dish lako kuyumba na wala sio tatizo la Dstv?
Hiki ndio hata mimi nilikuwa naelewa. Sasa kuna watu humu wameng'ang'ania DISH LIMEKAA VIBAYANatamani ningeweza kuiweka kwa Kiswahili(hata hivyo mie nimeambulia kidogo)
Why are Ku band signals in DTH from satellites affected more by rain than C band frequency signals?
The wave length of waves in Ku band is quite short (about 2cm). When any wave passes through the atmosphere and encounter water droplets it will cause some attenuation. This attenuation is exaggerated when the droplet ''hit'' the wave when it reaches half the wavelength in its diameter. This problem(Rain Fade) is common to all waves however, in case of waves in the Ku band, the degree of attenuation is far greater than those observed in other frequencies with greater wave lengths.
There is also some signal scattering, due to refraction and diffraction of electromagnetic waves in and around rain drops. Very heavy snow can also affect signal quality, but it is generally less likely to interfere. Satellite mini-dishes are designed to minimize the effects of adverse weather. Still, it does make sense to consider somewhat larger dish in areas where heavy rains or snow are relatively frequent, to compensate for signal attenuation.
Now for C band frequency is 4GHz and so its wavelength becomes 75mm quite larger than the size of rain drop,so signals passes through the rain with less attenuation.
For Ku band frequency is 11GHz it means its wavelength is around 25mm. It is also larger than that of rain droplet but still it has attenuation which can be managed.But if you go further i.e Ka band and V band their frequencies are very high and so very low wavelenghts.
Hence the higher the frequencies the higher the attenuation due to rain.
Hiki ndio hata mimi nilikuwa naelewa. Sasa kuna watu humu wameng'ang'ania DISH LIMEKAA VIBAYA
Wewe unafikiri sijui dawa ya dish kukaa vibaya? Nilichoeleza hapa ni janga kwa satellite tv.Dish kukaa vibaya inachangia, kuna watu wameeleza vizuri tu huku juu.
Madhara ya mvua kwa mtu aliye na signal dhaifu yanaonekana upesi kuliko kwa mwenye signal nzuri.
Well, hii inaleta mantiki, sio?
Ni shida kwa kweli, weka channel za miziki ya audio tu mkuuMara nyingi mvua ikinyesha DSTV matangazo yanakatika. Kwa mwezi huu wa nne na masika hizi si ajabu mvua ikanyesha wiki nzima au mara tano kwa wiki na hapo hutaona matangazo ya DSTV.
Je hapo si sawa na mtu unalipia huduma na huipati? Afadhali Tanesco umeme ukikatika LUKU haisomi kwahio huliwi pesa bure. Mfano leo kuanzia mchana huku nilipo mvus inanyesha mwendo ni on off kwenye DSTV.
Kuna njia yoyote DSTV mnaweza kufidia siku ambazo matangazo yanakatika kwasababu ya mvua?
Cc TCRAView attachment 738366
Niliongea kuhusu signal strength za Ku vs C band hasa kwenye mvua nikabishiwa na jamaa fulani huko juu. At least umekuja na maelezo ya kina, japo watakaoelewa mambo ya wavelength, frequency, diffraction and refraction sio wote. But at least maelezo yapo clear.Natamani ningeweza kuiweka kwa Kiswahili(hata hivyo mie nimeambulia kidogo)
Why are Ku band signals in DTH from satellites affected more by rain than C band frequency signals?
The wave length of waves in Ku band is quite short (about 2cm). When any wave passes through the atmosphere and encounter water droplets it will cause some attenuation. This attenuation is exaggerated when the droplet ''hit'' the wave when it reaches half the wavelength in its diameter. This problem(Rain Fade) is common to all waves however, in case of waves in the Ku band, the degree of attenuation is far greater than those observed in other frequencies with greater wave lengths.
There is also some signal scattering, due to refraction and diffraction of electromagnetic waves in and around rain drops. Very heavy snow can also affect signal quality, but it is generally less likely to interfere. Satellite mini-dishes are designed to minimize the effects of adverse weather. Still, it does make sense to consider somewhat larger dish in areas where heavy rains or snow are relatively frequent, to compensate for signal attenuation.
Now for C band frequency is 4GHz and so its wavelength becomes 75mm quite larger than the size of rain drop,so signals passes through the rain with less attenuation.
For Ku band frequency is 11GHz it means its wavelength is around 25mm. It is also larger than that of rain droplet but still it has attenuation which can be managed.But if you go further i.e Ka band and V band their frequencies are very high and so very low wavelenghts.
Hence the higher the frequencies the higher the attenuation due to rain.
Sijui unachojua mkuu...Wewe unafikiri sijui dawa ya dish kukaa vibaya? Nilichoeleza hapa ni janga kwa satellite tv.