myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,145
Hajui tu..ka band ambayo ni ya kisasa zaidi pia inakata..C Band ndio kiboko ya mvua japo ina mapungufu kwenye idadiKuna ndugu yangu amebisha hapo juu. Ku band ni shida sana.
Hajui tu..ka band ambayo ni ya kisasa zaidi pia inakata..C Band ndio kiboko ya mvua japo ina mapungufu kwenye idadiKuna ndugu yangu amebisha hapo juu. Ku band ni shida sana.
Mkuu hao DSTV wamejiifanya wanatujua uwezo wetu hivyo wametupimia ili wapate wabongo wengi wameona wasambaze dish ndogo.The funny thing ni kuwa huu ungo sijaokota tu nikafunga. Nimenunua dstv wao wakaja kunifungia sasa ukisema tatizo ni ungo wangu unanishangaza.
Sasa dstv hawakujua juu ya hili tatizo wakatufungia huo ungo unaosema wewe? Kwanini hawafanyi hivyo?
inasumbua sana hata wilaya za Hai na Moshi nimeuliza waliopo huko nao wana tatizo hilo
Ni kweli mkuu.Wangetoa bure
weka dish vizuri ila ikinyesha nyingi ndio hukatika but ya wastani huonesha fresh tuMara nyingi mvua ikinyesha DSTV matangazo yanakatika. Kwa mwezi huu wa nne na masika hizi si ajabu mvua ikanyesha wiki nzima au mara tano kwa wiki na hapo hutaona matangazo ya DSTV.
Je hapo si sawa na mtu unalipia huduma na huipati? Afadhali Tanesco umeme ukikatika LUKU haisomi kwahio huliwi pesa bure. Mfano leo kuanzia mchana huku nilipo mvus inanyesha mwendo ni on off kwenye DSTV.
Kuna njia yoyote DSTV mnaweza kufidia siku ambazo matangazo yanakatika kwasababu ya mvua?
Cc TCRAView attachment 738366
Ww utakuwa ni team azam! Umetumwa kumwaga sumu huku. King'amuzi kinachoongoza kusumbua wakt wa mvua ni azam na ndiyo sababu ya mm kuachana nao . tangu nihamie Dstv cjapata shidaMara nyingi mvua ikinyesha DSTV matangazo yanakatika. Kwa mwezi huu wa nne na masika hizi si ajabu mvua ikanyesha wiki nzima au mara tano kwa wiki na hapo hutaona matangazo ya DSTV.
Je hapo si sawa na mtu unalipia huduma na huipati? Afadhali Tanesco umeme ukikatika LUKU haisomi kwahio huliwi pesa bure. Mfano leo kuanzia mchana huku nilipo mvus inanyesha mwendo ni on off kwenye DSTV.
Kuna njia yoyote DSTV mnaweza kufidia siku ambazo matangazo yanakatika kwasababu ya mvua?
Cc TCRAView attachment 738366
Tutofautishie vzr mkuu!Ni hivi, satellite dish nyingi zinazotumia LNB za Ku-band zinakuwab na matatizo hasa kukiwa na hali ya hewa mbaya, mvua nyingi, mawingu mengi. Tofauti na LNB za C-band ambazo zipo stable sana na signal strength inakuwa vizuri tu wakati wa mvua.
Sijawahi kutumia Azam, nimetoka Startimes nimehamia DSTVWw utakuwa ni team azam! Umetumwa kumwaga sumu huku. King'amuzi kinachoongoza kusumbua wakt wa mvua ni azam na ndiyo sababu ya mm kuachana nao . tangu nihamie Dstv cjapata shida
Sio huko tu, hata Moro/Mbeya/Njombe etc, kukiwa na mvua au upepo, tumekuwa tukiexperience tatizo hilo mara nyingi tuinasumbua sana hata wilaya za Hai na Moshi nimeuliza waliopo huko nao wana tatizo hilo
Leo mvua imenyesha na dstv yangu iko safi kabisaHutumii dstv wewe...
Mbona mimi hata mvua inyeshe vipi, dstv yangu iko safi kabisaSio kweli. Mvua ikinyesha lazima hilo tatizo litokee.
Hiki kifurushi mkuu unapata inayoonyesha wwe live?
Hata malipo yakiwa ni kwa sekunde, dakika, saa au siku wakitaka kukuibia watakuibia tu.Asee we jamaa umeuliza kitu cha msingi sana. Yaani Dstv na mvua ni kama mafuta na maji. Nafikiri sada tuingie katika mfumo mwingine ambapo malipo yatakuwa kwa sekunde yaani unapotumia ndio salio liwe linakatwa kama unavyo piga simu. Kwa maana kuwa unapoangalia tv ndi makato yawe yanafanyika kama vile unapopiga simu
Hata dar ni hivyo kukiwa na wingu tu there is no signal.Sasa huku Arusha ndio kiboko mvua ikifunga wingu la maana inakata dstv, sasa na tanesco nao huwa wanajiongeza mvua ikianza tu umeme unakata hapa toka saa kumi na mbili no umeme acha tu