Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
69ks3 unacheki kwenye kifurushi gani maana...kwangu imefungiwa tokea pasaka na nimelipia
69ks3 unacheki kwenye kifurushi gani maana...kwangu imefungiwa tokea pasaka na nimelipia
Hutumii dstv wewe...Tatizo ni dish lako kuyumba na wala sio tatizo la dstv
Au nondo(wakosoaji) na uhamiaji..mvua na dstv ni kama sizonje na lisu...
haahaaaaa acha uchochezi!!vyeti vya bibi yako mzaa babu baba yake nyanya yako unavyo???Au nondo(wakosoaji) na uhamiaji..
Mkuu hapo tatizo sio mitambo ya DSTV bali satellite dish yako.Mara nyingi mvua ikinyesha DSTV matangazo yanakatika. Kwa mwezi huu wa nne na masika hizi si ajabu mvua ikanyesha wiki nzima au mara tano kwa wiki na hapo hutaona matangazo ya DSTV.
Je hapo si sawa na mtu unalipia huduma na huipati? Afadhali Tanesco umeme ukikatika LUKU haisomi kwahio huliwi pesa bure. Mfano leo kuanzia mchana huku nilipo mvus inanyesha mwendo ni on off kwenye DSTV.
Kuna njia yoyote DSTV mnaweza kufidia siku ambazo matangazo yanakatika kwasababu ya mvua?
Cc TCRAView attachment 738366
Mkuu mvua ndio inakata matangazo. Leo inanyesha inakata na DSTV hivyo hivyo. Usiniambie kuwa hujui effect ya mvua kwa dstv. Sasa hivi mvua imeacha dstv inaonesha vizuri tuMkuu hapo tatizo sio mitambo ya DSTV bali satellite dish yako.
Wakati kwako inasumbua sehemu nyingine ipo safi kwa maana wao mitambo yao ipo vizuri.
Suluhisho la tatizo hilo ni cable ingawa ni technology ya zamani.
Hahaha, pole sana. Nimefunga 6ft sat dish, na LNB 3 za "bendi" ya C na moja ya Ku. Mvua ikipiga channels zote za Ku zinakata ila za C ziko poa tu.Bro, mimi nalipa monthly subscription nione matangazo, wao ndio wananifungia dish nk sasa wakiweka lnb c band sijui jazz band mimi sijui nataka nione 24hrs nikijisikia.
Cable Ni Safi Sana Japo Huku Dar Hakuna Ila Mikoani Wanaenjoy SanaMkuu hapo tatizo sio mitambo ya DSTV bali satellite dish yako.
Wakati kwako inasumbua sehemu nyingine ipo safi kwa maana wao mitambo yao ipo vizuri.
Suluhisho la tatizo hilo ni cable ingawa ni technology ya zamani.
Tv box sihitaji nina SmartTV tatizo internet yetu bado sanaaaa ku support hizo mambo.Hahaha, pole sana. Nimefunga 6ft sat dish, na LNB 3 za "bendi" ya C na moja ya Ku. Mvua ikipiga channels zote za Ku zinakata ila za C ziko poa tu.
Ukishindwa hamia kwenye ulimwemgu wa Tv Box mkuu.
Cable Ni Safi Sana Japo Huku Dar Hakuna Ila Mikoani Wanaenjoy Sana
Ni kweli kabisa hela ngumu mnooHela ngumu. Imagine weekend upo home kamvua kananyesha DSTV no signal.
kama kwangu mkuuMara nyingi mvua ikinyesha DSTV matangazo yanakatika. Kwa mwezi huu wa nne na masika hizi si ajabu mvua ikanyesha wiki nzima au mara tano kwa wiki na hapo hutaona matangazo ya DSTV.
Je hapo si sawa na mtu unalipia huduma na huipati? Afadhali Tanesco umeme ukikatika LUKU haisomi kwahio huliwi pesa bure. Mfano leo kuanzia mchana huku nilipo mvus inanyesha mwendo ni on off kwenye DSTV.
Kuna njia yoyote DSTV mnaweza kufidia siku ambazo matangazo yanakatika kwasababu ya mvua?
Cc TCRAView attachment 738366
Seriously digital technology imeshindwa kupambana na mvua?
Kuna kipindi walikuwa wanatangaza ukilipa mfururizo miezi 3 bila kukata, kabla hakijaisha unalipa kuna chanel za offer zinaongezeka kama haulipi kile kikubwa kabisas3 unacheki kwenye kifurushi gani maana...kwangu imefungiwa tokea pasaka na nimelipia
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] aise wandugu hela inaliwa kweli hakuna kurudi nyumaTofauti ipo.
Umeme ukikatika LUKU haisomi ila matangazo ya DSTV yakikata hela inaendelea kuliwa.