Mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam

Mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam

Mida hio na destination.....🙂🙂🙂
Destination X
2deffece0dd507ce396435f1809f7a74.jpg
775f87f7391268bc8580bfb8a5377b78.jpg
 
Ila dar mvua ikinyesha panakua pabaya sana,uchafu,mitaro shida tupu.
 
Hata vituo vya mwendo kasi vimeathirika, vinavuja kama mwembe!!!. Ninahisi kuwa vimejengwa chini ya kiwango.
 
Back
Top Bottom