Mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam

Mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam

Ila kumbukeni kuwa mvua hiyo haijaletwa na Serikali ya chama cha mapindduzi
asante kwa angalizo lako mkuu...nadhan wahusika wamekupata kisawasawa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Huo ndio wakati wa kutafuta nyumba ya kupanga dar.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
sema ukizubaa tu unaweza kuingizwa chaka ukahama baada ya cku mbili tatu tu
 
cf7c95cb3897a49a0f7a071c4b712e02.jpg

Hali halisi uawahilini kwetu
 
Habari zenu wakuu

Tangu asubuh mvua kubwa inaendelea kunyesha sehem mbalimbali za Dar es Salaam

Naomba tuendelee kupeana updates ya madhara ya mvua hii,kama tujuavyo ni kawaida ya mvua ikianza kunyesha Dsm huambatana na kadhia mbalimbali

Karibuni
Hii mvua sio kubwa ni ya kawaida tu Tatizo ni miundo mbinu yetu. Mitaro na chemba zote zimeziba.
 
Upanga Tayari Maji Ni Mengi Na Barabara Za Mitaa Nazo Pia Zimeanza Kujaa Maji
dahhhhh....hayo maeneo ya Upanga huwa yana shida sana wakati wa mvua miaka yote

asante kwa taarifa mkuu
 
Pwani, kisarawe, Samvulachole, mkuranga hali ikoje huko.
 
Nawapa taarifa watumiaji wa Nyerere road kuwa eneo kati ya Tazara na Vingunguti limejaa Maji na mifereji haionekani hivyo magari yanapita kwa taabu.

Nawatakia siku njema.
 
Back
Top Bottom