Mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam

Mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam

Watu wa mikoani vipi nyinyi huko leo kote Mungu kafurahi au?, maana kwa madhambi yetu nilijua mwaka huu anatufundisha lakini naona katuhurumia
Mkuu bado funzo lipo pale pale, maana ameamua inyeshe ambapo hawalimi, sasa sijui tutakula rami au hizi ghorofa?
 
Inyeshe tuu tena kubwa kama wik hivi ila isitoe mtu uhai bali iharibu miondo mbinu ili tuchangie.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kuna shamba moja naliangalia kwa huzuni sana hapa nilipo, lisipopata mvua wiki hii ndio basi tena mavuno na work done zitakuwa sufuri.
 
Hivi wale wanaosema mvua inyeshe tuheshimiane wana maana gani?!
 
hiyo sehem ya akiba kila muda inafurika lakini hakuna marekebisho yoyote yanayofanywa wakati wa kiangazi...wacha tuucheze mduara,,,,njenje wakwapi jameni
 
jiandae kufika nyumbani usiku

Lin hii yaweza kuwa sababu TOSHA kutorudi nyumbani KABISAA kwa WAKWARE🙂 Sasa kama foleni haitembei unategemea nifikeje home????
 
Mkuu si tu ni muha_ndisi bali anawafagilia sana hawa waha_ndisi wenzie. Maji dumu moja tu hoi sasa akipiga dumu sita hapa au jamaa wakaamua kupiga kale ka semi-simtank hapa sijui patakalika?.
Ona kulivyo na double standard sasa waha_ndisi hawawezi laumiwa kwa ujenzi wao wa kutozingatia contours na mifereji. Ingekuwa wanafunzi wafeli walimu ungesikia;
Walimu hawafundishi
walimu feki
walimu wa vodafasta et.al.
Sasa hawa walipwa vizuri na wataalamu wa paithogarus sijui nao wanastaili hizo "nicknames" au ndo "makosa ya mtandao."
All I know waha_ndisi wamechemsha ingawa wanabebwa sana ktk regime hii mpaka wanafanya kazi za masoko kama matching guys.
Wampupulya mbwanee weee!!
 
Lin hii yaweza kuwa sababu TOSHA kutorudi nyumbani KABISAA kwa WAKWARE🙂 Sasa kama foleni haitembei unategemea nifikeje home????
tehe tehe tehe tehe kabisa, yani umechukuliwa na mafuriko ukajikuta mto msimbazi
 
Hivi wale wanaosema mvua inyeshe tuheshimiane wana maana gani?!
ahaaaaaaha!!hawa wanatakuwa ndo wale wanotaka wenye passo na disposable cars wa paki maana barabara zitakuwa mito...
watu hatupendani kweli..lol
 
Hivi mtu kama huyu hapo chini, maji yamejaa akiwa hapo au ameamua kupita hapo pamoja na kuona maji yamejaa?!!! Matatizo mengine tunayatafuta wenyewe.

cebc21ef-da83-4aea-8ae9-81046fcec6f7-jpg.438328
 
Back
Top Bottom