Mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam

Mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam

Halafu unasikia viongozi wa huu mkoa vipaumbele vyao ni kupambana na shisha, wakati mvua ikinyesha kidogo tu mji unafurika na shughuli kusimama.

Nina uhakika hata ukiwauliza viongozi wetu ni kiasi gani cha pesa hupotea kila mvua inaponyesha hawatukwa na majibu. Hawana hizo takwimu.
Eti wanapambana na shisha...dah mbavu zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani kitendo tu cha mvua kunyesha dar imeshakuwa breaking news!? Mods upuuzi mwingine msiruhusu upostiwe humu. Kwahiyo hata sisi huku kwetu Songwe mvua ikianza kunyesha tukimbilie kuanzisha threads humu? Aaaargghhh
 
Tumshukuru MAULANA MOLA WETU RHABUKA kwa baraka nyingi anazo tuletea milele yote . ..Amen RA
 
Yani kitendo tu cha mvua kunyesha dar imeshakuwa breaking news!? Mods upuuzi mwingine msiruhusu upostiwe humu. Kwahiyo hata sisi huku kwetu Songwe mvua ikianza kunyesha tukimbilie kuanzisha threads humu? Aaaargghhh
Wala Usijisumbue kuwashauri mods ujinga!
Kama hata kwa kielelezo cha picha huelewi basi una shida kubwa. Lengo kubwa la mleta mada sio mvua kunyesha bali yatokanayo na hiyo mvua. Elimika.
 
Huu mda wa kutafuta nyumba ya kupanga ndo utajua wapi dimbwi wapi kisima.
 
Mungu anadai eneo lake la bahari nyie ndo mnaita kitovu cha biashara na maofisi yenu eti ameni nendeni kimara ndo iko juu sizonje ameonyesha njia kuamia dodoma ameoteshwa na mwenyezi
 
Wala Usijisumbue kuwashauri mods ujinga!
Kama hata kwa kielelezo cha picha huelewi basi una shida kubwa. Lengo kubwa la mleta mada sio mvua kunyesha bali yatokanayo na hiyo mvua. Elimika.
Ahaaaa. Kwahiyo dar sahiv kuna mafuriko? Nambie wewe ulieelimika
 
Back
Top Bottom