Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,011
- 142,690
Ahahaaaaa....ya kweli hayo?Hata vituo vya mwendo kasi vimeathirika, vinavuja kama mwembe!!!. Ninahisi kuwa vimejengwa chini ya kiwango.
Ahahaaaaa....ya kweli hayo?Hata vituo vya mwendo kasi vimeathirika, vinavuja kama mwembe!!!. Ninahisi kuwa vimejengwa chini ya kiwango.
Foro, vikokotoni,???Stone Town.
Kwa kuwa unakuwa kama Thomas huamini hadi uone, basi angalia hiyo video clip hapo juu!!Ahahaaaaa....ya kweli hayo?
Majanga ya mvua katika baadhi ya vituo vya mabus ya mwendo kasi. Poor workmanship!!
Foro, vikokotoni,???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuishi dar ni sawa sawa na kuishi kwenye karai.
Karai la swimming poolKuishi dar ni sawa sawa na kuishi kwenye karai.
Halafu tunakomaa na shisha,nchii bhana.Karai la swimming pool
hapa Dodoma mjini mvua inaendelea kwa kasi kubwa tangu juziDodoma ipi hiyo niko mjini dodoma, mbande , mpaka mpwapwa huku kukavu kabisaaa!!
Kambale wameanza kutoka?hapa Dodoma mjini mvua inaendelea kwa kasi kubwa tangu juzi
wapo wengi hadi mambaKambale wameanza kutoka?
Naombea waingie bungeni tuone je spika atawaambia "kaa chini" na wao watasema "ni asili yetu kutambaa chini"wapo wengi hadi mamba
sa hivi wabunge hawapo labda waingie pale CCM makao makuuNaombea waingie bungeni.