cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,902
- 78,951
Bora leo niliamua kukaa ndani, shukurani kwa internet shughuli zinaendelea kwa kufuatilia mambo.
lazima tulale kazini leo
ni kweli kbs kiongozi....watumia internet gani weye
Itaanza saa 9 hadi saa 12...from there patakua no rain labda vimanyunyu vidogo sana so itaenda kupungua hadi saa 3 usiku ikatike kabisaMvua itakua kubwa kuanzia tena saa 9 mchana..na itaisha saa 3 usiku. Kesho jua litakuepo kali na mvua haitakuepo.
Source: online weather forecasting ambayo inakua updated kila baada ya dakika 1.
Huku Arusha shwari ila ikinyesha inakua shwari zaidi isipokua maeneo ya Ngalimi na Ngarasero-Usa River.Wamikoani njooni na feedback
Hapa DODOMA mjini imeanza tangu jana hadi sasa haijakatikaZanzibar inaendelea kutandika muda huu