Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,180
- 45,910
Mkuu, ukisoma uzi kwa makini utagundua Musukuma hoja yake iko wapi.Ubora wa u-darasa la saba wa msukuma ungeeleweka kama angejikita kupinga hoja ya prof. Mhongo kwa hoja mzito. Otherwise msukuma anasukuma upepo tu.
ngoja tu nikusaidie, Musukuma ameongelea udhaifu wa Muhongo katika kupambanua mambo na akatolea mfano issue ya Makinikia ambapo alishauriwa ila akajibu upuuzi, na hatimaye ushauri wa musukuma ukaonekana wa msingi.
Kwa kifupi Musukuma ametumia mfano huo kueleza kwamba Muhongo hana uwezo wa kupambanua Mambo na anazidiwa hata na Musukuma ambaye hana Elimu