MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

Hii, post huwa nairudia rudia kila baada ya miezi 3. Nawashukuru Sana mwanzilishi na wachangiaji. kila mtu atakuwa amejifunza Jambo fulani.

Suzuki escudo 3rd generation (2005-2010) Cc2000 naweza ipata kwa bei gani, iliyotumika hapa Tz.

NB. bei za kuagiza ama kwenye yadi najua ni kuanzia Mill 20+, kila nikidunduliza sioni matumaini ya kufika huko.
 
Nashukuru uzi mzuri nakumbuka 2010 kuja jamaa alipigwa gari bovu pale na maumivu ya mkopo alilipa kwa miaka kumi . ila najiuliza ukishaingia kumi na nane ya dalali kutoka sio rahisi kabisa sijue wanatumia akili gani.wenye uzoefu watujuze
 
Ukifuata hizo hatua kwenye Uzi utakuwa salama.
 
Hii, post huwa nairudia rudia kila baada ya miezi 3. Nawashukuru Sana mwanzilishi na wachangiaji. kila mtu atakuwa amejifunza Jambo fulani.

Suzuki escudo 3rd generation (2005-2010) Cc2000 naweza ipata kwa bei gani, iliyotumika hapa Tz.

NB. bei za kuagiza ama kwenye yadi najua ni kuanzia Mill 20+, kila nikidunduliza sioni matumaini ya kufika huko.
Hizi gari ni adimu sana.
 
Habari za siku nyingi wadau nataka ninunue gari weekend hii nlishalipata ni X-Trail ni la mtandaoni (Kupatana) nilisilkia story za wengi kutapeliwa kwa kuuziwa magari ya wizi yenye engine zisizoendana na gari yenye madeni TRA yenye card feki yaani labda mtu alikopea gari akaweka bond card akatengeneza card nyingine.

Je, nifuate procedure gani?

Hakuna jinsi ya kuangalia uhalali wa umiliki wa gari?

Madeni linayodaiwa TRA

Uwepo wa engine isiyoendna na chasis namba

Najua baadhi ya vitu kwasababu nina pikipiki.

nakaribisha msaada wenu wana jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatua za kufuata kwanza za kufuata

1. Kujua mahitajibya gari unalotaka kulichukua

2. Jiridhishe kwa kwenda ofisi za TRA kuangalia je anayekuuzia gari ndiye mmiliki wa gari hilo kwa kukupa vielelezo ambavyo ni vivuli copy

3. Tafuta fundi mwaminifu akusaidie kukagua gari ikiwa ni pamoja na kuliendesha ili kugundua udhaifu wake.

4.shauriana na fundi baada ya kutoka kulikagua gari

5.Tafuta ofisi yamwanasheria akuandalie mkataba wa mauziano ya gari

6.usilipe cash muombe acount umuwekee hela na vielelzo ubaki navyo au piga photo copy mkabidhi
Nendeni kwa mwanasheria mkakabidhiane na yeye aweke sahihi na muhuri wake

7.ukikamilsha ndani ya 3 jitahidi uanze process za kubadilisha jina la umiliki katika kadi ya gari

Ni hayo tu ninayojua mengine utaongezewa na wengine

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom