Ukifuata hizo hatua kwenye Uzi utakuwa salama.Nashukuru uzi mzuri nakumbuka 2010 kuja jamaa alipigwa gari bovu pale na maumivu ya mkopo alilipa kwa miaka kumi . ila najiuliza ukishaingia kumi na nane ya dalali kutoka sio rahisi kabisa sijue wanatumia akili gani.wenye uzoefu watujuze
Hizi gari ni adimu sana.Hii, post huwa nairudia rudia kila baada ya miezi 3. Nawashukuru Sana mwanzilishi na wachangiaji. kila mtu atakuwa amejifunza Jambo fulani.
Suzuki escudo 3rd generation (2005-2010) Cc2000 naweza ipata kwa bei gani, iliyotumika hapa Tz.
NB. bei za kuagiza ama kwenye yadi najua ni kuanzia Mill 20+, kila nikidunduliza sioni matumaini ya kufika huko.
Gharama ya kodi inategemea na umelinunua sh ngapi ni gharama ya kawaida kwa gari amayo haizidi cc1500 ni ka laki 4hongera boss je ukinunua TRA hawachukui kodi? gharama ya kubadilisha umiliki ni kama sh ngap
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana kaka hua huzipati kirahisiHizi gari ni adimu sana.
Prondo Nashukuru nilifuata ushauri wako...Nimeipata.Hizi gari ni adimu sana.
hili jukwaa naliheshimu, limenifundisha mambo mengi sanaHongera mkuu