titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,572
- 9,763
Kumbe brevis ni luxury car/gari la kifahari?.Sikulijua hilo.Bado wapo binadamu waaminifu sana duniani. Nimenunua Brevis wiki mbili zimepita, jamaa aliyeniuzia akanambia niikague na kunipa wiki ya kuitumia na kwamba nikikuta ina tatizo la kiufundi nimrudishie. Gari hizi ni tamu balaa, they are eye catching luxury cars.
Sent using Jamii Forums mobile app