Mungu wangu ana nguvu sana, muulizeni Jiwe, mkinipa sababu za maana kwanini hamumtaki Samuya nitamsihi Mungu aamue kama alivyofanya kwa Jiwe.

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,169
Reaction score
48,681
Sababu nambari 1 kwanini nimeamua kuwa upande wa Samia hata kama ana ubaya ni Watanzania kumwabudu Jiwe. Jiwe mtu mwovu sana .
Yote kwa yote katika kipindi cha utawala wake wananchi waliishi maisha magumu mno ila wananchi wenyewe wapo kama kuku, dk mbili mbele wameshasahau..
Sababu ya pili kwanini nimeamua kuwa upande wa Samia ni pale Watanzania na wapinzani kumwona Polepole ni shujaa huku huyo Polepole ni muhuni kabisa, fisadi mkubwa, Mzee wa fursa. Yaani huyu Polepole huyuhuyu aliyeweza kununua nyumba ya bilion na ushehe kwa mshahara wa laki 8 leo hii awe shujaa.
Polepole ndiye muasisi wa uvunjaji wa kanuni na Sheria za CCM kwa manufaa ya Jiwe na yeye mwenyewe leo analalamika kuwa utamaduni wa CCM umepindishwa .
Mtu mwenye interest ya siasa hawezi kukaa katikati , lazima akae upande mmoja. Siwezi kukaa idle, nimetoka upande wa wapinzani wasio na sera, wazee wa kufuata mkumbo.
Niko na Rais Samia mpaka pale wapinzani watakapokuwa na akili timamu.
 
Ni muuaji kawaua watanganyika zaidi ya elfu 10 hapo hapo kawaua wapinzani na wengine wanaosema ukweli.Jpm ni Malaika ukimlinganisha na samuya.
 
Sababu nambari 1 kwanini nimeamua kuwa upande wa Samia hata kama ana ubaya ni Watanzania kumwabudu Jiwe. Jiwe mtu mwovu sana .
Yote kwa yote katika kipindi cha utawala wake wananchi waliishi maisha magumu mno ila wananchi wenyewe wapo kama kuku, dk mbili mbele wameshasahau..
Sababu ya pili kwanini nimeamua kuwa upande wa Samia ni pale Watanzania na wapinzani kumwona Polepole ni shujaa huku huyo Polepole ni muhuni kabisa, fisadi mkubwa, Mzee wa fursa. Yaani huyu Polepole huyuhuyu aliyeweza kununua nyumba ya bilion na ushehe kwa mshahara wa laki 8 leo hii awe shujaa.
Polepole ndiye muasisi wa uvunjaji wa kanuni na Sheria za CCM kwa manufaa ya Jiwe na yeye mwenyewe leo analalamika kuwa utamaduni wa CCM umepindishwa .
Mtu mwenye interest ya siasa hawezi kukaa katikati , lazima akae upande mmoja. Siwezi kukaa idle, nimetoka upande wa wapinzani wasio na sera, wazee wa kufuata mkumbo.
Niko na Rais Samia mpaka pale wapinzani watakapokuwa na akili timamu.
Na hatoboi soon ataondoka tena kwa aibu
 
Kwa taarifa yako kila mtu alikuwa anajua Polepole ni baadhi ya washenzi waliofaidika na utawala wa dhalimu Magufuli, ila walikuwa wanachochea moto kwenye ugomvi wa ccm. Na kilichomkuta Polepole ni malipizi ya siasa chafu alizozishabikia kipindi cha dhalimu Magufuli.

Ww ndio umeamua kuwa upande wa mtu, sisi tuko upande wa haki na sio mtu. Samia ni mshenzi aliyeamua kuiga ukatili wa Magufuli, lakini Magufuli alikuwa katili wa asili.
Mbaga Jr
 
Tupe idadi ya mauaji na utekaji kipindi cha JPM kulinganisha na kipindi cha samia
Samia ameua wengi maana tulichoka tabia iliyoasisiwa na Magufuli ya utekaji, kupora uchaguzi nk. Lakini hata kama tungeingia barabarani Magufuli akiwa madarakani, bado mauaji yangekuwa mengi na hata zaidi ya sasa. Yaani Magufuli alikuwa mkatili wa asili. Huyu mama sio katili kama dhalimu magu bali ameamua kuiga tembo kunya, matokeo yake kapasuka msamba.
 
Nakuambia unipe takwimu unanipa ngonjera.

Ipo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na utaanza kumlaumu JPM
 
Mnaonishauri, acheni mi sina malengo ~ slowslow 2025
Polepole alikuwa na mambo mengi lakini ni muhimu tukasimama dhidi ya upotezaji wa mtu yeyote.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Nakuambia unipe takwimu unanipa ngonjera.

Ipo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na utaanza kumlaumu JPM
Vumilia tu bro, haya mauji ya huyu mshenzi wa kizanzibar ni mbegu aliyootesha dhalimu magu. Hutaki jinyonge.
 
Back
Top Bottom