Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,442
113,452
Wanabodi,
Declaration of Interest
Naomba ku declare interest kuwa japo mimi nina chama na sio chama cha Lissu, lakini namfahamu Lissu na kumkubali sana tuu, pia na sympathize na yeye kwa kilichompata, ila ninachofanya hapa ni being objective. Pia nafahamu fika kinachotokea kila ukifanya ukosoaji wa Chadema au viongozi wao wanaowaabudia, hivyo wale wa kutukana, be free to do so, the truth will always be the truth and will stand up to the very end.

Hili ni bandiko la swali, "Kwa Mliomsikia Tundu Lissu Kwenye Hard Talk, Jee Unadhani Atarejea Nchini?. Mimi kwa upande wangu, I seriously doubt kama atarejea, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa mwenye uthubutu na ushujaa mkubwa kuliko hata ushujaa wa Nelson Mandela!.

Nimesema hivyo kwa sababu nimemsiliza kwa makini Tundu Lissu, him being a Lawyer, kwa yale aliyoyasema, kwa tuhuma alizoshusha bila ushahidi, I seriously doubt if Tundu Lissu will ever return home during this era, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa kuliko Nelson Mandela, kwa sababu Mandela alirejea kuendeleza mapambano bila kujua nini kitampata, na alipofungwa jela na kusurvive hadi kuja kuja kuwa rais wa SA, hakujua, lakini Lissu, being a lawyer, anajua kabisa huwezi kutuhumu na kutaja majina ya watu bila ushahidi, hivyo ukirejea nchini, anajua fika akikanyaga tuu ardhi ya Bongo, atapokelewa na nani, na anajua atafikia wapi, and kwa situation hii tulionayo sasa, with vitu kama polonium 210, I doubt kama he will be so lucky kama Mandela.

Hivyo huu ni wito kwa watu wa karibu na Lissu, mshauri tuu aendelee na matibabu, hata mwili ukipona kabisa, aendelee tuu na matibabu ya kisaikolojia, ila aandike barua kwa Spika kuelezea kuwa bado anaendelea na matibabu, na kabla hajarejea, atumie international fora, kujihakikishia akirejea, hata pokelewa na wale mimi ninaodhania ndio watampokea na hata fikia kule mimi ninakodhania atafikia.

Waliomshambulia Lissu ni watu wasiojulikana, hivyo nilishauri humu
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums

Pia nikawatambulisha aina mbili za wasiojulikana
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums

Nikauliza
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums

Mwisho nikasema waandishi wenye uwezo wa IJ, wanaweza kumsaidia Kamanda Siro kuwabaini wasiojulikana hawa, na mimi ni miongoni mwa waandishi wa IJ,
Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija - JamiiForums

Pia nilizungumzia
Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?! - JamiiForums
My Take.
The Hard Talk kwa Lissu was good exposure and a golden opportunity that was a waste!, Chadema inabidi ianzishe kitengo cha International Politics kuwafunda makada wa Chadema kuwa na specific agenda ambayo kila wakipata fursa kwenye international foras, wataipush forward kwa kujipanga waseme nini, what to say and how to say it in terms of International politics. That was a great opportunity kwa Lissu kuongea as a president in waiting na sio kuongea kama mwana harakati mwanzo mwisho!.

Lissu hakupaswa kutoa tuhuma zisizo na ushahidi, pia hakupaswa kuponda mwanzo mwisho as if Magufuli is all that evil, and is doing nothing good for this country!.

Kwa upande wa lingua, kiukweli Lissu ana flow, kwenye top 5 wetu, mtu pekee mwenye uwezo wa kuflow kivile ni Mama Samia, na labda Majaliwa, tukishuka chini zaidi kwa mawaziri, MFA na January they are good. Kwa upinzani, ikitokea mtu kama Zitto akakaribishwa Hard Talk kiukweli mtaona the difference, nawashauri Wapinzani the man to bank on for 2020 ni Zitto, kwa sababu Lissu tayari kaharibu, unless awe kaharibu makusudi ili akirejea apokelewe kule mahali so that they can make a big laud noises kuhusu human rights violations!.

He made an history in BBC Hard Talk kuwa Mtanzania wa pili kuhojiwa baada ya Ben Mkapa, ambaye alihojiwa na Tim Sebastian. Sikumbuki kama JK alihojiwa, kwa JK nakumbuka ni CNN na siku hiyo nilikuwepo Atlanta, na Tundu Lissu alikuwa anaishi Atlanta na nilikutana naye hapo Atlanta!.

All and all, ile tuu kusurvive 16 bullets ni muujiza, Mungu ni mwema.
Hongera zake.

Paskali
Rejea za Ushauri wangu kwa Tundu Lissu na Chadema
Swali la Morality: Je ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? - JamiiForums

Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!, Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!. - JamiiForums

CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!. - JamiiForums

Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele! - JamiiForums

Vurugu za Bungeni: Mhe.Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!. - JamiiForums

Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe! - JamiiForums

Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele! - JamiiForums

Upadate 1
Huu ni mchango very objective
Unaushahidi juu ya waliomshambulia ni wasio julikana? Hebu fafanua
Na unadhani kwa nini walimshambulia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mniwie radhi kwa kuwakwoti nyie wote wawili kwa pamoja ili nami nichangie...

Nimesoma mlichokiandika mara mbili ama tatu. Nikarudi kutazama na kusikiliza tena mahojiano kati ya Tundu Lissu na Steven Suckur...

Nikaona you all missed something. Sina hakika ni lugha ama uwezo wa kuelewa mantiki na kisha ku - analyze mambo...

Mimi hoja yangu si Tundu Lissu kurudi nchini kwake ama kuendelea kuwa mkimbizi wa kisiasa huko aliko. Siko huko....

Hoja yangu kubwa ni kujaribu kutafakari hiki unachojaribu kukiingiza kwenye vichwa vyetu, kwamba Tundu Lissu alitumia fursa vibaya aliyoipata kwa kutoeleza hata moja zuri la Magufuli....

Na kwa hoja hii haraka haraka nikajifunza mambo mawili kuwa:

1. Kumbe viongozi wetu kupitia ujumbe wako wanahitaji fursa kutumia international media platforms kama BBC, CNN, Sky News, Al Jazeera nk ktk kuisemea nchi ktk hili ama like...

Kwa fursa aliyoipata Tundu Lissu, wengi imewauma sana hususani watu wa serikali (watawala) na wanaowaunga mkono....

Si kwa sababu ameongea uongo, ama uzushi .... la hasha....

Isipokuwa kaongea mambo ambayo kwa wengi wanaona kama amevunja "taboo" moja inayopaswa kulindwa sana.... kutosema mabaya ya serikali na hususani Rais Magufuli:oops::oops:!

2. Uwezo mdogo wa wengi wa waandishi habari wetu wa Kitanzania (ukiwemo wewe Paschal Mayallah) wa kuelewa mantiki na kuchambua mambo/hoja kwa kuzingatia "context"...

Mfano kuna mmoja (si wewe lakini naamini ni journalist) kamtukana kweli Tundu Lissu eti tu kwa sababu katika mazungumzo yale ammesikia muuliza maswali (Stephen Sucker) katika moja ya maswali yake akitumia maneno "baseless allegations"....

Hitimisho lake huyu mwandishi ni kuwa, hata mtangazaji alimwona Lissu akiwa na madai yasiyo na ushahidi (baseless allegations)...

Duuh, nilishangaa na kupigwa na butwaa kuliko maelezo!!

Tukirudi kwenye hoja, kwanza tukubaliane na wewe Paschal Mayallah kuwa kuna uwezekano mkubwa hujatazama wala kusikiliza mahojiano hayo mwanzo mwisho...

Kama umeyafuatilia kuna possibility number two, hukujipa nafasi ya kutosha kupata logic ya kila kilicho zungumzwa na Tundu Lissu. Nitaeleza......

1. Mahojiano yalikuwa ya kipindi cha takribani dakika 24 tu. Mimi naamini kwa style yako ya kuuliza maswali, kama ungekuwa Stephen Sucker ungeuliza swali moja na kuishiwa muda...

Na kwa style yako ya kujieleza, ungeishia kujibu swali moja tu na muda kukuishia...

2. Lengo la kipindi ilikuwa ni Tundu Lissu na yaliyompata na kidogo kwa kuhusianisha jaribio la kuuwawa kwake na harakati zake za kisiasa, ukosoaji wake wa Sera za utawala wa Rais Magufuli....

Ndiyo maana swali la kwanza la kwanza la ufunguzi (opening question) lilikuwa, vipi Tundu Lissu na unajisikiaje hali yako kwa sasa?

Lililofuata na ni description ya tukio kwa ujumla na kwa ufupi...

Kisha swali muhimu na ndiyo "backbone" ya mjadala mzima na kuzaa haya yote na hata hoja ya kurudi ama kutirudi Tanzania ni:

Unadhani jaribio la kutaka kukua lina uhusiano na harakati za kuukosoa Utawala wa Rais Magufuli, sera zake na kumuita petty dictator??

Hili ndilo lililozaa maswali mengine yote kuhusu uwekezaji, sijui ghost workers, conrsevative controversial govt statements aginist human right as quaranteed by constitution such as "right to privacy" nk nk

Na hili la human rights na msingi wake ikiwa ni vita ya ushoga vs mkakati wa Paul Makonda (Daud Albert Bashite) RC wa Dsm kupambana nao, Tundu alijubu very clearly unless mtu awe na matatizo yake kuelewa jibu hilo...

Alisema wazi kabisa, jambo yuko kinyume na jambo lolote ambalo ni unconstitutional ikiwemo "right to privacy"......

Na hili ni kweli kabisa, kama mtu ni shoga ama msagaji na anafanya mambo ndani ya chumba chake, tunapata wapi audacity ya kumuingilia mtu huyo? Ni viongozi wangapi wakubwa ndani ya serikali ni mashoga na wasagaji so long as wanafanyia mambo yao sirini?

Na swali moja kabla ya lile la mwisho kabisa lilikuwa ni aidha kurudi ama kutorudi Tanzania.....

Na kwamba umejiandaaje kurudi Tanzania wakati waliojaribu kukuua hata hawajakamatwa, hakuna kesi, hakuna uchunguzi....huogopi?

Hili sasa ndiyo likazaa swali la mwisho la kufungia HARD TALK la kujibiwa na Tundu Lissu kwa ufasaha ndani ya sekunde 50....

Ni kuhusu ku- fight against Magufuli through ballot paper box...

Tundu Lissu kwa ufasaha kabisa akajibu ".......If my fellow members see a correct person, I am more than enough...."

3. Hakuna mahali katika mazungumzo mwanzo mwisho alipoulizwa direct aeleze mazuri ya serikali na ya Rais John Pombe Magufuli ama sera za CHADEMA...

Ulitaka awe anatoka nje ya hoja kwa mitego ya Muuliza maswali kama Rais Magufuli wakati ule wa press conference kule Uganda hata kusaidiwa kujibu maswali na mwenyeji wake Rais Museven? Anaulizwa hivi, yeye anajibu vile? Au anaulizwa swali la maana yeye anatoa majibu ya kitoto na kijeuri tu???

Na kwa taarifa yako, siyo jukumu lake kueleza mazuri ya "serikali" ama ya Rais Magufuli. Wenye kazi hiyo ni yeye mwenyewe Magufuli, ama Polepole ama waziri wake yeyote...

Kazi ya Tundu Lissu (kama angeulizwa lakini bahati mbaya hakukuwa na swali hilo) ni iwapo angeulizwa kueleza MAZURI YA NCHI YA TANZANIA na mpango wake wa kuyaendeleza mazuri ya nchi mama Tanzania....

Kwa hiyo ni vyema tukatofautisha NCHI YA TANZANIA na SERIKALI YA AWAMU YA TANO YA BWANA JOHN POMBE MAGUFULI....

Tundu Lissu was absolutely full of composure and understable na nikuhakikishie hata huyo Mzungu amemkubali kama tunavyomkubali sisi wengine huku!!

Asante kwa very objective contribution.
P.

Final Update
Tundu Lissu leo amerejea nyumbani Tanzania, hivyo naomba kuthibitisha humu kuwa Tundu Lissu ni Jasiri na Shujaa Kuliko Nelson Mandela.

Hivyo sasa, kufuatia kurejea huku, ule ushauri wangu nilioutoa kwake kabla hajashambuliwa, sasa utekelezwe.

Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

Shujaa Kamanda Tundu Lissu, karibu nyumbani.
Mungu ni mwema amekutendea muujiza, hivyo endelea kutimiza ndoto yako, Mungu aliyekuponya ni Mungu mwenye uwezo, anaweza kabisa kulifanya "Jiwe Walilolikataa Waashi, Likafanywa Jiwe Kuu la Pembeni"

Paskali
 
Hivi ushahidi ataupata wapi zaidi ya ushahidi wa kimazingira uliopo?

Leo hii hata nyie waandishi mnaweza kukusanya ushahidi na kuandika habari za kiuchunguzi juu ya nini kilitokea Lissu aliposhambuliwa?

Kwanini hata Azory wa gazeti la Mwananchi hakuachwa afanye uchunguzi wake kuhusu mauji ya MKIRU?

Serikali iruhusu uchunguzi huru alafu muone kama alioongea yatakuwa ya uwongo.

Hivi umejiuliza IGP au waziri wa Mambo ya Ndani akienda kuhojiwa nini kitatokea kwa kuangali jinsi swala hili liivyokuwa handled mpaka sasa?

Unadhani kati ya Lissu,IGP au Waziri wa Mambo ya Ndani, nani angekuwa na wakati mgumu wa kujibu maswali yanayomuhusu?

Alafu si ni wewe Pascal uliewahi kuleta mada iliyoibua mjadal kuhusu Lissu kupigwa risasi?

Sometimes huwa una masilahi na mada unazoleta humu, ila inawezekana tu watu humu hawajakujua, na jambo ambalo una masilahi nalo, unaweza kulianzishia mada zaidi ya moja hasa ikitokea kuna mtu wako ameguswa au jambo husika linakuhusu au kuna mtu unataka kumnanga au kumfagilia..

In short, sometimes hauko objective kama unavyotaka watu humu wakuamini.

Pascal usidhani unajua kila kitu!!
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali, "Kwa Mliomsikia Tundu Lissu Kwenye Hard Talk, Jee Unadhani Atarejea Nchini?. Mimi kwa upande wangu, I seriously doubt kama atarejea, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa mwenye ushujaa mkubwa kuliko hata ushujaa wa Nelson Mandela!.

Nimesema hivyo kwa sababu nimemsiliza kwa makini Tundu Lissu. him being a Lawyer, kwa yale aliyoyasema, kwa tuhuma alizoshusha bila ushahidi, I seriously doubt if Tundu Lissu will ever return home during this era, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa kuliko Nelson Mandela, kwa sababu Mandela alirejea kuendeleza mapambano bila kujua nini kitampata, na alipofungwa jela na kusurvive hadi kuja kuja kuwa rais wa SA, hakujua, lakini Lissu, being a lawyer, anajua kabisa huwezi kutuhumu na kutaja majina ya watu bila ushahidi, hivyo ukirejea nchini, anajua fika akikanyaga tuu ardhi ya Bongo, atapokelewa na nani, na anajua atafikia wapi, and kwa situation hii tulionayo sasa, with vitu kama polonium 210, I doubt kama he will be so lucky kama Mandela.

Hivyo huu ni wito kwa watu wa karibu na Lissu, mshauri tuu aendelee na matibabu, hata mwili ukipona kabisa, aendelee tuu na matibabu ya kisaikolojia, ila aandike barua kwa Spika kuelezea kuwa bado anaendelea na matibabu, na kabla hajarejea, atumie international fora, kujihakikia akirejea, hata pokelewa na wale mimi ninaondania ndio watampokea na hata fikia kule mimi ninakodhania atafikia.

My Take.
The Hard Talk kwa Lissu was a waste, Chadema inabidi ianzishe kitengo cha International Politivs kuwafunda makada wa Chadema, wakipata international forums, waseme nini in terms of International politics, That was a great opportunity kwa Lissu kuongea as a president in waiting na sio kuongea kama mwana harakati mwanzo mwisho. Hakupaswa kutoa tuhuma zisizo na ushahidi, pia hakupaswa kuponda mwanzo mwisho as if Magufuli is all that evil, and is doing nothing good for this country.

Paskali
Jamaa licha ya kukaa Ulaya mwaka mzima na ushee bado hajaacha lugha ya kiufipa ufipa. Hapo ndio anapojiumbua mbele ya watu wenye akili zao. Amejaa ushamba mwingi.
 
Mkuu umeotea, ni kweli tundu lissu hawezi kurudi labda baadae sana, hivi kweli watu kama akina barshite na subwoofer wanamshauri arudi!?

Eti aje awatumikie wana singida mashariki..? hawa watu bado hawana dhamira nzuri kwa lissu, wanataka akija tu wamalize kazi!
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali, "Kwa Mliomsikia Tundu Lissu Kwenye Hard Talk, Jee Unadhani Atarejea Nchini?. Mimi kwa upande wangu, I seriously doubt kama atarejea, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa mwenye ushujaa mkubwa kuliko hata ushujaa wa Nelson Mandela!.

Nimesema hivyo kwa sababu nimemsiliza kwa makini Tundu Lissu. him being a Lawyer, kwa yale aliyoyasema, kwa tuhuma alizoshusha bila ushahidi, I seriously doubt if Tundu Lissu will ever return home during this era, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa kuliko Nelson Mandela, kwa sababu Mandela alirejea kuendeleza mapambano bila kujua nini kitampata, na alipofungwa jela na kusurvive hadi kuja kuja kuwa rais wa SA, hakujua, lakini Lissu, being a lawyer, anajua kabisa huwezi kutuhumu na kutaja majina ya watu bila ushahidi, hivyo ukirejea nchini, anajua fika akikanyaga tuu ardhi ya Bongo, atapokelewa na nani, na anajua atafikia wapi, and kwa situation hii tulionayo sasa, with vitu kama polonium 210, I doubt kama he will be so lucky kama Mandela.

Hivyo huu ni wito kwa watu wa karibu na Lissu, mshauri tuu aendelee na matibabu, hata mwili ukipona kabisa, aendelee tuu na matibabu ya kisaikolojia, ila aandike barua kwa Spika kuelezea kuwa bado anaendelea na matibabu, na kabla hajarejea, atumie international fora, kujihakikia akirejea, hata pokelewa na wale mimi ninaondania ndio watampokea na hata fikia kule mimi ninakodhania atafikia.

My Take.
The Hard Talk kwa Lissu was a waste, Chadema inabidi ianzishe kitengo cha International Politivs kuwafunda makada wa Chadema, wakipata international forums, waseme nini in terms of International politics, That was a great opportunity kwa Lissu kuongea as a president in waiting na sio kuongea kama mwana harakati mwanzo mwisho. Hakupaswa kutoa tuhuma zisizo na ushahidi, pia hakupaswa kuponda mwanzo mwisho as if Magufuli is all that evil, and is doing nothing good for this country.

Paskali
Umemchongea kiakiri sana, hata kama serikali haikua na mpango huo, wakisoma huu uzi wanaweza kuchukua mawazo yako, Hii ni Hatari kama Lamri Chonganishi za Waganga wa Jadi.
 
"The Hard Talk kwa Lissu was a waste, Chadema inabidi ianzishe kitengo cha International Politivs kuwafunda makada wa Chadema, wakipata international forums, waseme nini in terms of International politics, That was a great opportunity kwa Lissu kuongea as a president in waiting na sio kuongea kama mwana harakati mwanzo mwisho. Hakupaswa kutoa tuhuma zisizo na ushahidi, pia hakupaswa kuponda mwanzo mwisho as if Magufuli is all that evil, and is doing nothing good for this country."
===========================
Acha mapenzi binafsi na woga wa kushambuliwa, tuchambulie ulichokiona kwenye yale mahojiano
 
Kweli kabisa Pascal, kuna tatizo kubwa kwa wafuasi hadi wanachama wa hivi vyama kuelewa sera na itikadi ya vyama vyao ndio maana wanapinga kila kitu hata kama ndio sera yao kwavile tu anaitekeleza JPM. Sera ya ushoga umeona ilivyompa shida Lissu ingawa wafia vyama watamtetea. Kuhusu kurudi atarudi tu, mbona Zitto anaropoka kila siku na afanywi chochote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali, "Kwa Mliomsikia Tundu Lissu Kwenye Hard Talk, Jee Unadhani Atarejea Nchini?. Mimi kwa upande wangu, I seriously doubt kama atarejea, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa mwenye ushujaa mkubwa kuliko hata ushujaa wa Nelson Mandela!.

Nimesema hivyo kwa sababu nimemsiliza kwa makini Tundu Lissu. him being a Lawyer, kwa yale aliyoyasema, kwa tuhuma alizoshusha bila ushahidi, I seriously doubt if Tundu Lissu will ever return home during this era, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa kuliko Nelson Mandela, kwa sababu Mandela alirejea kuendeleza mapambano bila kujua nini kitampata, na alipofungwa jela na kusurvive hadi kuja kuja kuwa rais wa SA, hakujua, lakini Lissu, being a lawyer, anajua kabisa huwezi kutuhumu na kutaja majina ya watu bila ushahidi, hivyo ukirejea nchini, anajua fika akikanyaga tuu ardhi ya Bongo, atapokelewa na nani, na anajua atafikia wapi, and kwa situation hii tulionayo sasa, with vitu kama polonium 210, I doubt kama he will be so lucky kama Mandela.

Hivyo huu ni wito kwa watu wa karibu na Lissu, mshauri tuu aendelee na matibabu, hata mwili ukipona kabisa, aendelee tuu na matibabu ya kisaikolojia, ila aandike barua kwa Spika kuelezea kuwa bado anaendelea na matibabu, na kabla hajarejea, atumie international fora, kujihakikia akirejea, hata pokelewa na wale mimi ninaondania ndio watampokea na hata fikia kule mimi ninakodhania atafikia.

My Take.
The Hard Talk kwa Lissu was a waste, Chadema inabidi ianzishe kitengo cha International Politivs kuwafunda makada wa Chadema, wakipata international forums, waseme nini in terms of International politics, That was a great opportunity kwa Lissu kuongea as a president in waiting na sio kuongea kama mwana harakati mwanzo mwisho. Hakupaswa kutoa tuhuma zisizo na ushahidi, pia hakupaswa kuponda mwanzo mwisho as if Magufuli is all that evil, and is doing nothing good for this country.

Paskali
Pasco alichokisema Lissu ni kidogo mno kulinganisha na jinsi alivyotendewa.
Kuiogopa serikali ya kiharamia ya CCM ni sawa na Kenya kuamua kutoa jeshi Somalia kwa sababu ya vitisho vya Alshabab,dawa ni kupambana hadi tone la mwisho la damu
 
Hivi wakimpeleka mahakamani watamshitaki kwa lipi?

1. Hawajafungua jalada la upelelezi, hawajahoji mtu hata mmoja, hawajakamata mtu hata mmoja wa kuzugia juu ya Jaribio la kuuawa kwake, Sasa watajenga hoja gani ya kijinasua na tuhuma mbele ya JAJI?

2. Kapigwa risasi kwenye compound ya makazi ya viongozi, hakukuwa na mlinzi hata mmoja, Watamueleza vipi Jaji mpaka amuone Lissu ana kesi ya kujibu?

3. Wameng'oa CCTV camera katika eneo la tukio, wakili wa Lissu akiutaka upande wa Jamhuri ulete hiyo footage wataiipeleka?

4. Kanyimwa pesa za matibabu ya bunge, Watamueleza nini Jaji kuwa walimnyima kwa nia njema mtu ambaye hakujipeleka mwenyewe nje bali alipelekwa nje huku akiwa hajitambui?

5.Ni mtu aliyetoa taarifa za kufuatiliwa na watu ambao wanaonekana hawakuwa na nia njema lakini hakupewa ulinzi wowote, watamueleza nini Jaji kuwa walizifanyia kazi tahadhari zake?

Tusing'ate maneno hapa:

Kama inatembea kama bata, inakula kama bata, inatweta kama bata na inakunya kama bata, basi hiyo ni bata huhitaji ushahidi wa yai ili kuthibitisha kuwa hiyo ni bata!. Hiyo ni bata tu!!!, Weka tiki, pigia msitari!!

Roho ya Lissu ilikataa kufa kwa risasi 16 haiwezi kusurrender kwa selo na Jela!

Kuna roho zimeumbwa duniani kamwe hazikubali hata siku moja kupigia goti roho nyingine dhalimu!. Never!. Ya Lissu ni mojawapo!!!
 
Back
Top Bottom