Chief Sam
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 2,577
- 4,864
Mi nakupa hongera sababu una assets ndani TV,sofa n.k.
Dogo malezi nayo uliyokulia yanakuharibu coz nikikuambia husle tulizopitia sisi watoto wa familia za kipato cha chini utapagawa.
Cha kufanya cheza na hesabu kimoja kife kiokoe vingine,hifadhi kwa mfanyakazi mwenzio,rudi hom kajipange au anzisha mishe nyingine mjini.
Watu wako tight mi naona ww sawa tu
Sent using Jamii Forums mobile app