Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Kuna id ya kiume inaitwa Zurii unaijua?Zuriel ni la kike mbona aka Zurii
Kuna id ya kiume inaitwa Zurii unaijua?Zuriel ni la kike mbona aka Zurii
Duh, uskate tamaa, wengi wanapitia magumu zaidi ya yKoHiki kipindi napitia maisha magumu sana
Nimefukuzwa kazi
Nadaiwa kodi ya miezi mitatu
A 5000 ya umeme
Sina hela
Ndani nina unga tu mboga na hata mchele sina
Nipo mikoa ya mbali na nyumbani
Nimejifungia ndani nashindwa kutoka coz mama mwenye nyumba ni kivuruge na ananidai 5000
Nina mpenzi ambaye anajitahidi kufahamu kipindi ninachopitia ila bado hapati jibu coz i act as if sina matatizo
Nina siku mbili sijala kwa ridhaa yangu yaani nakula kwa kuibia
Natamani kurudi home nauli sina na naona ni udhaifu mkubwa kurudi kukaa na mama na am 24yrs old
Akili inachoka nahisi kuanguka
EEE MUNGU PAMOJA NA MAPITO HAYA NISIFIKIE KUKATA TAMAA
HAYA NI MADOGO KULINGANISHA NA WENZANGU
NISITAMANI KUJIUA
KWA AKILI YA KIBINADAMU UWEZO UNANISHINDA
NAKUOMBA MUNGU UTIMIZE HAJA ZA MOYO WANGUView attachment 1062423
HapanaKuna id ya kiume inaitwa Zurii unaijua?
.Please nitumie namba yako PM
You are the fighter and you will make it through, mark my words
asanteeeeeDogo kanikunbusha mbali sana, nilikutwa na iyo hali na sina wazazi na kwa ndugu mimi ndie kaka ilikuwa hatari sana ilibidi niuze vyombo vyote vya ndani nikatafuta chumba cha bei poa zaidi na nikaanza upya. Kwy dg usirudi nyumbani pambana vyovyote mpaka ushinde iyo hal
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mi chumba 60000 umeme 10000 ko ni yale yaleWewe ungekaa dar ungeolewa nakwambia
Huku chumba 50000 , umeme 10000-20000 kwa mwezi, bado watu wataka na ulinzi shirikishi kila mwez wanapita lazima ikutoke 5000,
Yaani huko mikoani chumba mnalipa 25000 , umeme 5000 unalialia ,dah
Mwana hebu piga kazi acha kulialia ,Mimi home iringa, watu wa iringa ni wapambanaji,
Huku dar chumba unalipa 50000 na wanataka kwa miez 6,
Yaan mm nikirud kuishi mkoa ,kwa chumba cha 25k, nalipa mwaka, halafu napambana kwa maendeleo maana nitasahau kama nadaiwa kodi,
Huku dar ukilipa kodi, hujakaa sawa unakuta mkataba umeisha, lakin watu tunakomaa na tuna umri rika lako ,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
nashukurumatukio sawa ila wahusika tofauti,,,, miaka 2 baada ya kumaliza chuo nilikuwa kwenye hali hiyo na mawazo kama yako Thanks Almighty God leo kinaeleweka ninachofanya
Usikate tamaa brother,, usikate tamaa brother ni dhambi
Sent using Jamii Forums mobile app
tafuta partiner wa kushare nae kodi ya geto,na kwa vile sasa uko vibaya yeye ndo afoot the bill,kwa maana kuna watu wanatafuta vyumba,mtu ambae mnaweza kushare,
shukraniSi bora we 24yrs mi may natimiza 26 na tokea Feb niliamua kurudisha majeshi nyumbani japo sikupenda kbsa,,, now najipanga kurudi mchezoni upya June the bad thing naonekana nna hela kumbe holaaa.....
The good thing Mungu yupo tumtangulize yeye sikia hii hivi majuzi saa kumi alfajiri niliamka nikaanza kuandika mipango yangu ya muda mfupi na mrefu baadae ya kumaliza kuandika vzr nikajisemea sasa nisome neno la uzima kufungua biblia paap macho yanatua mithali 16:1- kulitafakari hilo fungu na la pili na la tatu nikagundua kuna hana ya kuomba kwanza idhini maana huwa tunapanga tu kama kesho tunaijua,,, kikubwa tumuweke Mungu kwanza mengine atayafanya kwa ajili yetu
asanteMimi sikushauri kurudi nyumbani...hapo hapo kwenye ugumu ndio yalipojificha mafanikio, ni dhahiri unaona aibu kufanya baadhi ya kazi kwa kuhofia watu watakuonaje, huwezi kuitwa mshindi Kama hujashindana. Kushindana ni Nini? Ni hizo changamoto unazopitia kubali kuzishinda. Ukiweza kupita hapo wewe ni shujaa. Jitahidi kumuahidi hata kama unampango wa kupata hela hv karibuni, ila pambana na umuombe sana Mungu hakika utaona njia, maana Mungu hawezi kukusaidia ukiwa umelala kitandani. Hata mimi ninaekushauri hapo nimewahi pitia hayo...Tena zaidi ila sikukata tamaa na steal bado changamoto zipo, ila nakomaa kiume. Toka katafute kibarua chochote ufanye Mungu atakuangazia nuru...amini hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
salute mkuu... Nakumbuka na mm niliwahi kupitia hali kama yako, nilikuwa nakunywa uji tu then nalala, siku nzima hauli kitu.
... Ikitokea umekula ni kutokana na kugongea kwa mtu, inafika kipindi unachokwa kabisa.
... Maisha ni safari ndefu, mno, Imani yako iweke thabiti mbele za Mungu.
... UNGEKUWA UPO DAR NINGEKUAMBIA UTAFUTE NAULI UENDE MUHIMBILI AU AMANA HOSPITAL, HAKIKA UNGERUDI HAPA NA KUMSHKURU MUNGU.
... WAPO WATU WANATAMANI MNO HIYO AFYA YAKO NA UZIMA ULIONAO.
... Tumshkuru Mungu kwa kila jambo.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk