Kabisa yaan akisikia ya wengine atajiona ana uafadhalinever give up mkuu,kuna watu tunapitia mapito na nyakati ngumu mkuu mbona wewe una nafuu,
shukuru hata unapa kukimbilia(wazazi) wengine hatuna,tunapambana na kumlilia Mungu na kwa wakati wake atajibu
Ubarikiwe kwa moyo huo mkuuMkuu upo sehemu gani, kama upo Dar nicheki nije nikutoe hata buku tano leo upate japo chakula cha mchana.
Sio wote wanaoingia humu wana bando wengine wanatumia freebasics..au hujui hilo?Hela ya bando ngenunulia mboga dogo.....duh lakini pole sana...naomba namba ya gf wako nitume cha mboga angalau
Atakua hajui me mwenyew apa natumia freebasicSio wote wanaoingia humu wana bando wengine wanatumia freebasics..au hujui hilo?
sure.Maisha yana siri kubwa sana ,kukata tamaa ni kumpa shetani nafasiKabisa yaan akisikia ya wengine atajiona ana uafadhali
sure.Maisha yana siri kubwa sana ,na kukata tamaa ni kumpa shetani nafasiKabisa yaan akisikia ya wengine atajiona ana uafadhali
poa mkuu tatizo huku nilikuja kikazi na sifamihani na watuPole sana hauko peke yako..
Acha kukaa ndani ingia mtaani ukajichanganye!
Sent using Jamii Forums mobile app
itakua bring it onRudisha mpira kwa kipa, nakumbuka kipindi hiki kilinikuta nilimpoteza mchumba wangu hivihivi nikarudi home wazazi wakanitia nguvu nikarudi town tena kupanga mashambulizi huwa ni nyakati za mpito tu kuna neema yaja mbele usikate tamaa.Kuna wimbo wa Psquare (jina siukumbuki) ulikuwa unanifariji sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
asante kakaYatapita. simama imara, kuna wengine wanapitia zaidi ya hayo.
Uwe na Moyo mkuu.
hio stage siwez kufikia ni kama ambavyo sijaomba mchango wa kifedha hata kwa thread yangu
Ndio muda mwafaka wa kujua km uko na mwanamke sahihi wa ndoto yako, mwambie matatizo yako uone atakusaidiaje.Mkuu hata nauli sina
hadi huruma hela ya bando kanitumia mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
asante dada naul sina n hich kipind nime survive almoast miez miwili hapa akili ya kibinadamu imegoma namuomba mungu nisifikie ku give upPole.sana mkuu, usijitese kula uwe strong you still have a very bright future. Kipindi unachopitia ni sehemu ya changamoto za maisha, nakutia moyo urudi nyumbani tafadhali kwa muda huu unahitaji watu wako wa karibu watakupa joto na faraja. Wewe ni kijana mdogo sana bado una nafasi ya kwenda kujipanga upya na kuanza fresh. Kila la kheri mkuu
asa kaka nimuuze shem wakoHela ya bando ngenunulia mboga dogo.....duh lakini pole sana...naomba namba ya gf wako nitume cha mboga angalau
Udhaifu kitu gani bhana, watu tumeolewa lkn kuna muda unakwama hd unaomba msaada nyumbani.
Yes, na hapo ndio muda wake wa kujua km ana mpenzi wa kweli ama lah!