Watu wanatumia free basic hakuna haja ya bandohauna 5000 ya umeme na nnje hautoki lakini simu yako ina bundle na charge ya kuingia jamii forum
Sent using Jamii Forums mobile app
KumbeKomaa machungu yakizidi utamu uko karibu
Mrushie hata laki moja hapa alipotoka ndio nje kwake....mkuu toka nje, Mungu atakuletea mtu wa kukutoa hapo...wengi yunapitia hizo changamoto.
asante Mjomba jambazi...nitakusaidia 2025








ujambazi sisi washamba hatuwezi 2025 baada ya uchaguzi daah mbona mbali sanaujambazi sisi washamba hatuwezi 2025 baada ya uchaguzi daah mbona mbali sana
vumilia tu mkuu
Hata Mimi mjomba sikumchagua naomba grace period 2025 ni mbali sana Mkuu wangu
Nitashukuru Mkuu
Wewe ni Mkuu sana
Nitashukuru Mkuu
Wewe ni Mkuu sana
Hiki kipindi napitia maisha magumu sana
Nimefukuzwa kazi
Nadaiwa kodi ya miezi mitatu
A 5000 ya umeme
Sina hela
Ndani nina unga tu mboga na hata mchele sina
Nipo mikoa ya mbali na nyumbani
Nimejifungia ndani nashindwa kutoka coz mama mwenye nyumba ni kivuruge na ananidai 5000
Nina mpenzi ambaye anajitahidi kufahamu kipindi ninachopitia ila bado hapati jibu coz i act as if sina matatizo
Nina siku mbili sijala kwa ridhaa yangu yaani nakula kwa kuibia
Natamani kurudi home nauli sina na naona ni udhaifu mkubwa kurudi kukaa na mama na am 24yrs old
Akili inachoka nahisi kuanguka
EEE MUNGU PAMOJA NA MAPITO HAYA NISIFIKIE KUKATA TAMAA
HAYA NI MADOGO KULINGANISHA NA WENZANGU
NISITAMANI KUJIUA
KWA AKILI YA KIBINADAMU UWEZO UNANISHINDA
NAKUOMBA MUNGU UTIMIZE HAJA ZA MOYO WANGUView attachment 1062423
Usinijaze
Ile safari ya Kenya imeishia wpi kwanza.....
😂😂😂👊👏👌😛😛Mwisho wa mwaka Mkuu Ngoja tubangaize kidogo kidogo
😂😂😂😂😂😂Hapana wewe kwangu ni Mkuu sana kwa wengine sijui upande wao kwangu ni hivyo
Hapana mkuu mie mdada tena mama kabisa wa watoto wawiliMimi pia nafahamu wewe ni kaka
Humbled