Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
So nini ambacho unaona kitakufaa kwa sasa?
Kodi ya nyumba,
Nauli kurudi nyumbani
Hela ya umeme au ni nini?
Kodi ni kiasi gani na unadaiwa ya miezi mingapi?
Ushauri wangu:
Lipa kodi hata nusu tu alafu upate na kidogo ya kununua chakula ndani kisha ingia mtaani uhangaike, wakati huu usione aibu hata kupiga debe piga mradi unatafuta kwa halali. Kujifungia ndani na kusononeka sio suluhu mkuu.
Namshangaa mtu una mikono miwili na miguu mi2 huna mtoto huna mke...!yaan dah...!

