Mr Never Mind
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 287
- 335
- Thread starter
- #221
real kakaUsikate tamaa, Pigana!!
You are strong than what you think...
Sent using Jamii Forums mobile app
real kakaUsikate tamaa, Pigana!!
You are strong than what you think...
mkuu hua sifagilii mapenziHapa hakuna lolote, ila ninaamini masikitiko yako ni kwamba unaogopa kumpoteza huyo mwanamke wako wa chuo.
Fahamu kwamba ALIKUPENDA KWA SABABU ULIKUW NA UWEZO WA KUPROVIDE KILA KITU KWAKE, na sasa usifikiri anakupenda kama zamani, na hata bando amekutumia tu ili usione kwamba anakutenga,ila deep inside HAYUPO NA WEWE...!!
Mpenzi, ambaye sio mke, huyo ni kama MZIGO WA BEGANI TU, ukikuchosha unauweka chini. Kama yeye ulimpata, ni bora ukafanya maamuzi ya kumuacha, kuliko kusubiri yeye ndo akuache, kwa sababu UTAUMIA SANA MOYO na usipokuw makini UTAJIUA. Elewa kwa sasa hata asipopokea simu yako, utaanza kujiuliza "au kwa sababu sina hela?". Jifanye msela tu, achana nae, huyo sio wako tena. Watu wanaachwa na wake zao wa ndoa, sembuse girlfriend...!!!
BINADAMU PEKEE WA JINSIA YA KIKE ATAKAYEKUPENDA MAISHA YAKO YOTE NA KWAHALI YAKO YOYOTE, NI MAMA TU..!! So rudi nyumbani mdogo wangu. We bado mtoto sana. Rudi home, ongea na wazazi, jipange. Wazazi especially mama, hawezi kukuchoka...!! Kinamama ni viumbe wa ajabu sana. Atakuw na wewe through thick and thin.
Neno langu sio sheria kaka...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi home sasa...!!! Watu na ndevu zetu, tulipitia situation ngumu zaidi yko, tukaanza moja. Sembuse wewe 24yrs bana. Kwny familia wewe ni wa ngapi kuzaliwa?? Kma sio wa kwanza, kaka au dada zako wana hali gan kimaisha? Wazazi je, hali yao kimaisha ipoje?? Kuomba msaada sio ujinga, omba wakusaidie. You are too young to handle everything by yourself.
Kama Mama mzazi yupo utapata faraja Sana!Na nyumban kuna faraja ya ajabu, especially kwa umri wako kwa sababu bado mtoto. Tatizo ni pale unapokuw na mke na watoto, halafu ukarudisha majeshi home. Unaweza ukawa kichaa aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana aisee. Ndo maana namshangaa dogo anaposhindwa kurudi home.Kama Mama mzazi yupo utapata faraja Sana!
You are strong than what you think...
MKUU,Atakua hajui me mwenyew apa natumia freebasic
thanks mkuuNa nyumban kuna faraja ya ajabu, especially kwa umri wako kwa sababu bado mtoto. Tatizo ni pale unapokuw na mke na watoto, halafu ukarudisha majeshi home. Unaweza ukawa kichaa aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
asante mkuu wap hukoKama hutojali njoo tufuge Kuku na Bata na kilimo
You are strong than what you think...
Yan kama unabisha, jaribu kwenda home HATA WIKI MOJA TU. Shinda home na maza pale mnapiga stori, aisee, utajiona umekuwa mpyaaaaa
vipi hali yako kaka nimejikuta nalia as if yalinikuta mimiUanaume sio kukaza kwenye kila kitu, kuna mambo yanahitaji ushauri na kupewa faraja kutoka kwa wengine. Nimemkubali member kwa ujasiri wa kuja jamvini na kuomba faraja na mawazo mbadala pia nimeupenda moyo wa wanaJF kwa kumfariji kwa chochote MUNGU AWABARIKI.
Tusichojua au kuelewa ni jambo moja TUNALELEWA AU KUKULIA KATIKA MAZINGIRA TOFAUTI, binafsi anayopitia member yamenikuta miezi mi3 iliyopita na sahivi nauguza majeraha.Niko age sawa na jamaa na mazingira niliyokulia hayakuniruhusu kujifunza kuhustle japo napenda hustlering nikiwa Kama mwanaume.
Baada yakumaliza chuo niliamua kupambana binafsi japo niondokane na Hali ya kuombaomba ajira(Declare interest SIPENDI KUAJIRIWA) but home wakakataa mimi kufanya shughuli nyingine zaidi ya kuajiriwa,so nilichoamua ni kupotezeana na home na wao wakafika mbali zaidi na kusema mimi sio mtoto wao na hawatanisaidia kwa chochote (inaumiza kuambiwa maneno hayo na mtu umpendae, Yote kwa yote nilishasamehe) kutokana na mazingira hayo niliamua kuuza kila kitu ili kufidia Deni la chumba nikaenda kwa uncle japo kujipanga duuh yaliyonikuta yanaumiza zaidi...Nilifikia hali ya ndugu yangu huyu(Depression in first stage) sina nauli kusema nitaondoka niende mahali pengine, sina wakumuomba chochote zaidi yakupata sehemu yakulala, Kuna siku nilisingiziwa nimeiba na huyo uncle wangu kitu ambacho sikukifanya, niliamua kuondoka na kwenda kukaa msituni japo sio sana kwa wenyeji wa dar (Madale kata ya Mbopo) nililala siku mbili huku naokota makopo mchana mpaka usiku "Mbalamwezi ilihusika" Mungu Ni mwema nilipata kijinauli nikasepa mkoani kwa masela japo maisha sio mazuri ila Mungu Ni Mwema.
Kuna watu wanapitia mengi tena magumu lakini usiwaseme vibaya kuwa ni wanaume dhaifu au hawajitambui, hii inatokana na mazingira tuliyonayo na tuliokulia pia uwezo wa mtu kujichanganya na jamii, Mazingira tuliyokulia yanachangia sana hali anayopitia mtu.
Pia nimejifunza kitu, watu waliokulia Iringa wanaspirit ya kuhustler sana ila kinachowafelisha ni kwamba hatujafundishwa kujichanganya na jamii na hii ndio inachangia wengi tunapopitia magumu tukishindwa kwa akili zetu na kama mtu yuko mbali na Mungu hukimbilia kujiua.
Mbarikiwe wanaJF
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nipo karibu kiasi fulani na Mungu japo anayonipitisha nayo huwa yananipa ugumu kuendelea nae, Yote kwa yote simuachi Mungu na sitakuja kumuacha...Nikushauri kitu usikate tamaa na pia jaribu kukaa karibu na Mungu tutashinda haya yote.
Washa data fungua google andika www.0.freebasics.com utakutana na application zisizotumia data na jf ikiwemo.. EnjoyMKUU,
NIFUNDISHE NAMNA YA KUPATA HIYO FREEBASIC MKUU.
"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
Bro sio kila kitu Ni mapenzi, wengine wanapitia magumu zaidi na wanatamani wangekua na hata huyo mpenzi wakinafki.Hapa hakuna lolote, ila ninaamini masikitiko yako ni kwamba unaogopa kumpoteza huyo mwanamke wako wa chuo.
Fahamu kwamba ALIKUPENDA KWA SABABU ULIKUW NA UWEZO WA KUPROVIDE KILA KITU KWAKE, na sasa usifikiri anakupenda kama zamani, na hata bando amekutumia tu ili usione kwamba anakutenga,ila deep inside HAYUPO NA WEWE...!!
Mpenzi, ambaye sio mke, huyo ni kama MZIGO WA BEGANI TU, ukikuchosha unauweka chini. Kama yeye ulimpata, ni bora ukafanya maamuzi ya kumuacha, kuliko kusubiri yeye ndo akuache, kwa sababu UTAUMIA SANA MOYO na usipokuw makini UTAJIUA. Elewa kwa sasa hata asipopokea simu yako, utaanza kujiuliza "au kwa sababu sina hela?". Jifanye msela tu, achana nae, huyo sio wako tena. Watu wanaachwa na wake zao wa ndoa, sembuse girlfriend...!!!
BINADAMU PEKEE WA JINSIA YA KIKE ATAKAYEKUPENDA MAISHA YAKO YOTE NA KWAHALI YAKO YOYOTE, NI MAMA TU..!! So rudi nyumbani mdogo wangu. We bado mtoto sana. Rudi home, ongea na wazazi, jipange. Wazazi especially mama, hawezi kukuchoka...!! Kinamama ni viumbe wa ajabu sana. Atakuw na wewe through thick and thin.
Neno langu sio sheria kaka...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasasa nipo tuu,nikipata vidili vidogo vidogo nafanya lakini imekuja baada yakusamehe yote na kuamua kuanza upya, usiangalie uwezo uliopo nyumbani, usiangalie watu watakuonaje just toka nje, ongea na watu utapata japo mia mbili au buku ambayo unaweza kufanya Jambo fulani.
Brother naamin kabisa you misunderstood my comment. Nakubaliana kabisa na wewe kwamba SIO KILA MATATIZO BASI YAKAHUSIANISHWA NA MAPENZI.Bro sio kila kitu Ni mapenzi, wengine wanapitia magumu zaidi na wanatamani wangekua na hata huyo mpenzi wakinafki.
Tuwe tunapima mambo kwa ukubwa zaidi na mazingira tunayopitia,Kama ingekua mapenzi nadhani jamaa asingefikiria kuleta uzi coz Leo au kesho mrembo atakuja kuona huu uzi.
Nimekubali uliposema neno lako sio Sheria.
Sent using Jamii Forums mobile app