Sawa my dear.
Njaa na kiu dear. Lazima anyooke.
Tukishatolewa AFCON nitakuja kukuomba msamaha kwa jumla dear. Nimeona nisiombe kwa mafungu mafunguSawa my dear
Mie nakuzoom tuu

.Yaani unafanya kwa kudhamiria kabisaaa dearTukishatolewa AFCON nitakuja kukuomba msamaha kwa jumla dear. Nimeona nisiombe kwa mafungu mafungu.
Bora nimalizie kutenda makosa.
Sidhani kama atakuwa na nguvu ya kuongea leo labda hadi kesho wakishafungwa

Najaribu kujizuia nashindwaYaani unafanya kwa kudhamiria kabisaaa dear

CCM Stars ni dhaifu.inafurahisha hata mataifa tuliyodhani yana matatizo ya kisiasa na kikabila kama vile algeria na kenya kutumia yanayoendelea huko misri kuleta umoja wa kitaifa na kuwa kitu kimoja ila hali hiyo ni tofauti hapa kwetu ambapo tusio wana ccm tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya CCM ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu
kesho CCM hao wanaenda kukutana na mbweha the fox wa jangwani toka algeria,mara ya mwisho CCM hao wa lumumba walipigwa 7-0
Naomba nichukue nafasi kumuomba Mungu awabariki Algeria wapige goals 9-0 hapo kesho.Amen.
Punda sio mjinga kiasi unachofikiri!Hata kama ndani ya familia mmegombana sana, siyo vizuri kakaa kijiweni na kuanza kutangaza ugomvi wenu hadharani.
Mkiwa nje mnatakiwa muwe wamoja japo kwa ndani mligombana.
Hata kama ni kweli Stars ingekuwa ni ya CCM, still, kizalendo, Watz wote tungepaswa kuwapa sapoti Watz wenzetu, maana hana CCM nao ni Watz.
Kama huna mapenzi na Stars bora ubaki kimya ila usitangaze ubaya kwa majirani na mataifa mengine maana huko ni kujichora tu.
Kuna wabunge wanatuwakilisha Bunge la EAC, SADC, na Pan African Parliament, na baadhi yao ni wanaCCM, lakini bado tunawapa sapoti maana wanaiwakilisha nchi.
Sasa leo hii, iweje, mfano, kama Stars wangekuwa wanaCCM, tusiwape sapoti?
Kama huwasapoti, ni kwanini usikae kimya kuficha aibu na upumbavu wako?
Mwerevu hukaa kimya ila mpumbavu hunena hovyo na kudhihirisha upumbavu wake
Punda sio mjinga kiasi unachofikiri!
Si unaona amegoma kunywa maji!!
Mbweha hunasia kama anasiavyo mmbwa!!! Shughuli mnayo ccm wahedi nyie.
Niyanunie mavi!?Nuna pasuka. CCM ni mbele kwa mbele
Liwalo na liwe, CCM itadumu, Taifa Stars itakuwepo na itaendelea kuchezaNiyanunie mavi!?
Yenyewe yanajibost kukaa chooni!!
Lazima mkongomekwe!
Mwenzenu ana uzoefu kwa goalkeeper.
nimegundua nafsi yako inahuzunika sana kwa hofu na hasira kuhusu kipigo cha mbwa mwitu ambacho timu yenu ya mpira ya ccm itapata kesho kutoka kwa wa-algeria.Nuna pasuka. CCM ni mbele kwa mbele
nimegundua nafsi yako inahuzunika sana kwa hofu na hasira kuhusu kipigo cha mbwa mwitu ambacho timu yenu ya mpira ya ccm itapata kesho kutoka kwa wa-algeria.
😍😍😍Nimetengua kauli yangu mtarajiwa.
Ndoa naitaka, haswa.
Naungana na wewe kumtakia maharzi kila la kheri kwenye kuipapasa ccm starz
Shauri yako... Siku hizi matabia mbaya yamejaa
Usitupangie mwehu wewe!Hata kama ndani ya familia mmegombana sana, siyo vizuri kakaa kijiweni na kuanza kutangaza ugomvi wenu hadharani.