Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Huyo dogo akigoma kutoa je?.sioni kama ndo best solution mkuu.
Mkuu ishu kubwa nnayoiona hapo sio jamaa kumgegeda mdogo ake, ila ni hiyo mimba. Isingekua hiyo mimba wala mambo yasingekua makubwa. Ndo maana naona solution ni kutoa tu hiyo mimba, then huyo jamaa amuombe msamaha mke wake na maisha yaendelee. Kama binti hataki kutoa huo utakua ni utata mwingine
 
maamuzi yako n sahihi 100% go on usirud nyuma
zambi ta kuzin n mbaya sana ndo maana torati inasema wauwae wazinf walioko kwenye ndoa
 
Usivunje ndoa bali kaa mbali na mumeo kwa muda then uone kama unaweza kurudi kwenye ndoa tena au lah
 
Habari za asubuhi wanajamvi,

Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa muda sasa.

Nimeolewa na Nina miaka miwili kwenye ndoa lakn sikuwa tayari kuzaa kwakuwa tulikubaliana mpaka nimalizie masomo yangu ya masters ambayo natarajia kumaliza mwaka huu.

Tumekuwa tunaishi vizuri tu na mume wangu nikimtii na kuwajibika kwa majukumu yangu yote kama mke kwa mumewe pamoja kuwa Ninafanya kazi na kusoma pia.

Mimi ni muajiriwa lkn mume wangu wangu ni mfanyabiashara kariakoo.

Nina mdogo wangu ambaye aligraduate mwaka jana akaomba akae kwangu wakati anatafuta kazi, sikuona shida nikamkubalia.

Tangu aje tumekuwa tukiishi vizuri tena kwa amani.

Kama Dada nilijitahidi kumtengea mdogo wangu bajeti yake toka kwenye mshahara wangu kwa kila mwenzi iliaweze kumudu kufuatilia mambo yake kirahisi.

Baada yakuwa nae kwa miaezi mitano nikaanza kuona mabadiriko kadhaa.
Akawa karibu na mume wangu sana, sikujali nikajua ni ushemeji tu.

Siku moja nilirudi nyumbani mapema sikukuta mtu.

Nikaendelea na maandalizi ya chakula cha jioni, nikiwa jikoni nikasikia sauti ya mume wangu na mdogo wangu wanabishana.

Niliposogea dirishani nisikilize vizuri huku nikichungulia nje nikaona dogo analia na mume wangu anambembeleza huku akimfuta machozi.

Nikatulia nione nini kinaendelea, nikasikia mume wangu anamwambia itabidi tuitoe maana Dada yako akijua wote tutakuwa nawakati mgumu..

Nikachukua simu yangu nikawa nawarekodi, baada ya muda wakaingia ndani nami nikajifanya sijui chchte.

Sikuwauliza chchte nikijipa muda wa kufanya utafiti zaidi.

Baada ya wiki, mdogo wangu akaniambia kuwa ana shida na Mimi.

Nikamsikiliza akaniambia kuwa ana mimba..

Sikuhamaki wala kuonyesha kama najua chchte, nilimuulize nani muhusika akajibu hajui.

Nikamwambia kama hujui sina namna ya kukusaidia siku ukijua utaniambia nijue jinsi ya kukusaidia.

Akaanza kulia na kunipigia magoti huku akisema nisamehe Dada, nikamwambia wala hujanikosea.

Nikamwambia wewe ni mtu mzima umeamua kuzaa kunashida gani?

Baba wa mtoto naamini yupo kwahiyo sikuhukumu.

Akasema, kuna jambo nataka nikwambie..
Niikamwambie aniambie..
Akasema lakini naomba unisamehe, shemeji ndo amenipa mimba.

Kwakweli niliumia sana, nikamuuliza wana muda gani tangu waanze mahusiano akajibu ni miezi minne sikujibu neno, nikaendelea na shughuli zangu.

Mume wangu alikuwa matembezi, aliporudi nikawaita wote wawili, nikamwambie Dogo aseme alichoniambia mbele ya shemeji yake.

Akasema tena ana mimba ya shemeji yake..mume wangu kusikia vile akataka kuwa mkali..

Nikamwambia hana haja ya kufoka, nikanyamaza sikusema wala kulaumu chchte.

Nikaamua kuwaita wazazi wangu na wake pia bila wao kujua,

Walipo kuja nikawambie Mimi ndiye niliyewaita lkn mume wangu na mdogo wangu ndiyo wanachakuwaambia.

Walipoulizwa wanasemaje dogo akaeleza kuwa anamimba ya shemeji yake..

Mume wangu alipoulizwa kwa unyonge sana alikubali. Wazazi wakaniuliza Nina maamuzi gani?
Nikawajibu nimeamua kumuachia mume mdogo wangu.

Wazazi wakanisihi nimsamehe na tuendelea na maisha ya ndoa..na dogo arudi kwa wazazi.

Niliwakatalia nakuwambia kuwa nisingeweza kuvumilia ndoa ya aina Ile..nikamwambia wasijipotezee muda wao kuniambia cha kufanya niliwaita waje wasikie uchafu niliofanyiwa then baada ya hapo mimi ndo nitoe maamuzi
Nilisisitiza maamuzi yangu nikutoendelea na ndoa tena.

Waliniambia nisichukue uamuzi bila kutafakari wakanipa wiki tatu za kufikiria Leo hii ni siku ya nane tangu nipewe muda wa kutafakari..

Niliwaomba niwe mbali na watuhumiwa wangu kipindi cha kutafakari.

Nikawasihisi watuhumiwa wao ndo wanipishe nyumbani kwangu, maana tunapoishi ni kwangu.

Wameondoka na sijui walipo kwenda.

Binafsi sijisikii kuendelea kuishi na huyu mwanaume ingawa kweli tumeshafunga ndoa lkn siwezi kuwa na raha ya ndoa ktk mazingira kama haya.

Najiuliza heshima yangu iko wapi?

Jamii inanionaje?

Na mtoto atayezaliwa ntamuonaje?

Naona dhambi hii ni kubwa sana siwezi kuibeba.

Wadau naomba msaada maamuzi niliyochukua naweza kuwa sahihi? Nisaidie plz.

Naomba plz sihitaji matusi wala mizaha nahitaji ushauri na faraja.

Naamini ktk wingi wamashauri hapakosi hekima.
Pole kwa mkasa uliokutokea. Kwa maandiko ya Kikristo, uko huru na kifungo cha ndoa kimeshaondoka mikononi mwako. Hata ukiachika ukaolewa tena, hutokuwa unazini maana wao ndio wamelikoroga... Cha muhimu ni vyema uka move foward na maisha yako. Ila kama unaweza kusamehe na kusahau, look at that possibility...
 
nimewahi kushuhudia kesi kama hii kasoro ndogo ni kuwa wale walikuwa wameshazaa na pia mwanaume ndiye anayefanya kazi na mwanamke ni mama wa nyumbani.lakini mambo mengi yanafanana.mwanamke aliamua kususia ndoa akimwacha mdogo wake,baada ya miaka kama mitatu yule mwanamke maisha yakamgonga na akarudi kwa mumewe kudai mdogo wake aondoke ili aendelee na ndoa yake,mdogo wake naye akagoma kutoka na hivi ninavyoongea wamepelekana mahakamani.jaribu kifikiri kwa makini kabla ya kuchukua maamuzi kwa hasira au machungu,la muhimu mwondoe mdogo wako pale nyumbani na mgange yajayo japo kwa maumivu lakini utasahau.
 
Mwanamme au sisi wanaume tukioa kitu cha kwanza tunataka mtoto,leah ulikua hijui? Kama hujui ndio nakufahamisha,hatuhitaji madoido,hata kama utaolewa tena,kitu cha kwanza kazae,watoto wanalinda ndoa,kama huamini basi,ungekua namtoto hata mdogo wako asingeshika mimba,huo ni uzembe wako,jamaa alitakamtoto fasta wewe unataka elimu? Ona sasa
mkuu unamaanisha kwamba mume alikuwa SAHIHI kutafuta WATOTO kwa kumjaza mimba MDOGO WA MKE WAKE? kama ndivyo unavyomaanisha basi mwanadamu hana tofauti na ng'ombe anayezaa na mama yake na watoto wake pamwe! wazo lako ni la AJABU sana mkuu.
 
Pole sana dada usirudi nyuma kwenye maaamuzi yako, ndo sahiii ulichokiamnua huyo mwanaume amemwaga sumu kwenywe familia yenu Milele,Mungu akupe nguvu uwezekushinda jaribu hilo kubwa kasome kitabu cha Daniel kama alivotuma malaika wake akawakoa akina meshark ndivyo hivyo atakuaokoa dhidi ya matatizo uliyonayo utapata mume bora mwenye kujua dhamani yako
 
mkuu unamaanisha kwamba mume alikuwa SAHIHI kutafuta WATOTO kwa kumjaza mimba MDOGO WA MKE WAKE? kama ndivyo unavyomaanisha basi mwanadamu hana tofauti na ng'ombe anayezaa na mama yake na watoto wake pamwe! wazo lako ni la AJABU sana mkuu.

Mkuu kupitia huu uzi nimegundua baadhi ya sisi wanaume bado tuna mawazo ya ajabu sana, kwanza hamna justification ya cheating, pili kupiga dry means huyo jamaa hampendi mkewe na ni muuaji koz anaweza hata ingiza ukimwi ndoani. Wanaosema mwanaume akioa basi soon anataka mtoto, kwa hiyo huyo leah mfano labda Mungu angechelewa kidogo kumpa mtoto these guys will justify akapige shemeji, nonsense. Kama we are not ready kuoa tusioe mazee.
 
Poleh, ila kwa nini hutaki kuzaa hadi sijui shule iishe,walau upate mtt mmoja afu zijazo ndo uzuie kuzaa,ona sasa yalotokea
Na kuiacha ndoa yako nayo unayeloose ni wewe,umesalitiwa na ndoa unapoteza
Nakushauri beba mimba,mdogo wako akizaa watoto wote alee baba yao
 
Kwanza pole dada kwa yaliyokukuta.
Pili mi nakushauri uachane na uyo baba kwani c muaminifu na si kwa 7b kampa ujauzto mdogo wako tu bt inaonekana waz kua ana michepuko mingine ming ya nje, kwa ufupi uyo ni mzinz asiye na aibu kabisa.
Jengine ni kua ata ukirudiana nae kwa mtindo huo alokua nao amtoweza kuishi kwani baada ya muda kupita tu atarudia iyo tabia yake kama awaida.
Aidha mi ckushauri umuache mdogo ako aish kwa uyo baba kwani mwisho wa siku yatamkuta pengne kuliko yalitokukuta wew, hivyo ni vyema ukamshauri arudi nyumbani ili uyo baba atafute familoa nyingine ya kuharibu
Jambo jingine la msing ni wew mwenyewe kujichunguza kwa umakini juu ya mwenendo wako na maisha yako ya ndoa ulivokua unaishi na mme wako. Mi nina shaka kua ulifika wakati ukawa uko bize zaid na shule na kazi na ukasahau majukumu yako ya nyumbani kama mke hivyo kumfanya jamaa ahangaike kutafta sehemu ya kuounguza kiu yake alokua nayo, na kwa bahati mbaya ikatokea mdogo ako yupo karibu zaid akamuwah yeye.
Pia kwa maelezo ako inaonekana wazi kua ulifanya uzembe pale ulipobaini ukarbu usio wa kawaida kati ya mdogo wako na mme wako but ukachululia poa tu bila kufanya uchunguzi wala kuhoji. Kwani kama ucngeachia pengine hayo yacngetokea.
Mwisho mdogo ako pia ni tatizo na wala hakupend mana kama ni mtu wa busara alitakiwa akuambie mapema pale alipoanza tu mmeo kumtongoza bt alinyamaza na kuendelea kuctarehe nae kama kawaida na kama asingepata ujauzto basi asinhekwbia kabsa.
 
Dada sikupond lkn naongea tu ndoa inapofungwa kinachofuata n watoto haina kusema nimalize masters au kujenga hao n wazinzi kwa muda wa miez mnne kama mdogo wako alivyokuambia mimba tu ndio imewaumbua labda alikuwa anakula hausigal kabla ya dogo kuja piga chn maisha yaende
Mi mwnyw kwa uelewa wangu km hamjazaa mkioana hamna ht kutumia kinga mzae tu ndoa znyw mkiona umri umeenda mnakua mnasubiri nini,yani niache kuzaa kisa masters,
Kuna jambo hapo,dada yaonekana ana uwezo kuliko mume hence maamuzi anafanya yeye
Msikilize mwenzi wako km anataka mtoto zaa tu tatzo liko wapi
 
Binafsi sitaweza kuishi nae tena nilitakupata justifications ya maamuzi yangu ndo maana nikaomba ushauri humu ndani

Watu wanaongea tu kirahisi nisamehe lkn hawajaribu kuvaa uhusika waone ilivyo ngumu
Ili kuendelea mbele ni kusamehe au kurevenge,sio siri ni ngumu sana,but naona itakua ngumu zaidi kuja kumuita mumeo shemeji
Mungu akupe nguvu,ila zaa dada Acha kujikaba uzazi kisa shule hadi mume anaweweseka na mdogo wako
 
Mi mwnyw kwa uelewa wangu km hamjazaa mkioana hamna ht kutumia kinga mzae tu ndoa znyw mkiona umri umeenda mnakua mnasubiri nini,yani niache kuzaa kisa masters,
Kuna jambo hapo,dada yaonekana ana uwezo kuliko mume hence maamuzi anafanya yeye
Msikilize mwenzi wako km anataka mtoto zaa tu tatzo liko wapi
LadyRed hivi umemwelewa Leah?walikubaliana Na mmewe
 
Ili kuendelea mbele ni kusamehe au kurevenge,sio siri ni ngumu sana,but naona itakua ngumu zaidi kuja kumuita mumeo shemeji
Mungu akupe nguvu,ila zaa dada Acha kujikaba uzazi kisa shule hadi mume anaweweseka na mdogo wako
Dah
 
Pole aiseee....Kwenye hizi ishu nakuwa na kigugumizi ...wanasema ni matters of the heart eti! Sikiliza moyo wako mama..maisha lazima yaendeleee
 
Sijaon
How old are you?
Partly kabla ya kuanza kumlaumu mumeo nitakulaumu na wewe.
  1. Kutokuufwatilia kwa karibu uhusiano kati ya mdogo wako na shemeji yake. Mbali na kuwa ni ndugu yako wa damu,utakuwa unajua tabia zake na ni mwanamke kama wanawake wengine.
  2. Hilo la kuchelewa kumzalia mumeo mtoto. Inaweza kuwa lilikuwa jambo lako tuu na namna alivyokubali inaweza kuwa kutokana na sababu zako ila je? mliridhiana pasipo shaka kwamba atakubali wewe umalize kusoma ndio umzalie mtoto?
Wanaume ni wadhaifu being a man I know this, na wanahitaji kufuatiliwa kwa ukaribu sana hasa kwenye mambo kama haya yanayohusisha hisia. Ki mtazamo sijui namna mambo unavyoyaendesha nyumbani kwako ni maoni yangu kuwa unaipa sana kazi yako na masomo as priority kuliko mume wako (sisemi usithamini kazi) to me, family comes first. Na hiyo weakness shetani ndio akapitia hapo hapo.

Bottom line: Fuata ushauri wa wazazi, dogo arudi kijijini ajifungue mtoto, mtoto akiwa mkubwa, aje hapo nyumbani, kaeni kikao cha kifamilia mdogo wako na mumeo waombe msamaha kwa jambo lililotokea na mzungumzie utaratibu wa matunzo ya mtoto. Life goes on. Ukishindwa hilo. File for a divorce ukaolewe na mtu atakayekusubiria umalize shule (tena Masters, unga na PHd kabisa) ndio ukubali kumzalia mtoto.
sijawahi ona ushauri pumba kama huu, nyie wanaume wenyewe sikuhizi mnataka kuhudumia familia sawa na wanawake. Mwanaume anayeshindwa kukuheshimu miaka miwili wakati wewe mwanamke unasota Na kitabu for better future basi huyo mwanaume atakuletea watoto kila mwaka
Ndugu yangu ili donda aliweza kupona wazee wa zamani waliweza kuvumilia wakisema wanapata matunzo wewe inaonekana ni braid winner kwenye familia yako so unamvumilia nini just let him go
 
Kwanza dada pole,lakini huu uamuzi uliouchukua sio sahihi;na wala hakuna atakayekulaumu ila mkasa wako ni sawasawa na mbunge mmoja aliyezaa na mdogo wa mke wake.Sasa nitakupm nikupe full stori ya huyo mbunge uone jinsi huyo mkewe alivyosolve huo mkasa.
Aaaah bwn tusimulie hapa wote tujifunze,ficha majina yao, badilisha maeneo nk,content tuwekee usisahau kunitag mkuu
 
Back
Top Bottom