Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

LadyRed hivi umemwelewa Leah?walikubaliana Na mmewe
Oky sawa,ila maamuzi ya kumuachia mume mdogo mtu yatamtesa kuliko,..bora angekua mtu baki, mdogo wako...
 
Imagine kuwa mfanyakazi na evening program ya masters, assuming mtu upo Dar kuingia home sa 4 hio,umechoka huna hali,Muda wa ndoa uko wapi
Hapo kapika mdogo mtu Kala na mumeo nk nk
Wanawake lazima tuelewe when it comes to ndoa IT'S A MAN'S WORLD, mfumo dume ndani ya ndoa kaweka Mungu mwenyewe,
Haki sawa majukwaani na ofisini, ndani ya ndoa hakunaga haki sawa mami
Bible imeandika Mwanamke ndo atavunja ndoa yake kwa mikono yake sio Mwanaume
Nakubali mume kakosea sana lakini kama dada huyu anajali ndoa akubali yaishe,km hajali waachane,but why did she get married in the first place km jambo moja tu linamtoa ndani
 
Sijaon

sijawahi ona ushauri pumba kama huu, nyie wanaume wenyewe sikuhizi mnataka kuhudumia familia sawa na wanawake. Mwanaume anayeshindwa kukuheshimu miaka miwili wakati wewe mwanamke unasota Na kitabu for better future basi huyo mwanaume atakuletea watoto kila mwaka
Ndugu yangu ili donda aliweza kupona wazee wa zamani waliweza kuvumilia wakisema wanapata matunzo wewe inaonekana ni braid winner kwenye familia yako so unamvumilia nini just let him go
Mi ndo mana nakataaga hizi ndoa za mwanaume kazidiwa kipato na mwanamke,ni vile tu huwezi pata unachotaka muda wote, heshima inakuja pia coz ya kipato
 
Kuna baadhi ya wanaume ni chefu usipote muda kujibishana nao pengine baada ya kujua Bibi Dada anamalizia masters roho ya wivu imemkaba hana lolote kakomalia kweli ingekua ndo mkewe katiwa mimba Na kaka yake sijui angesemaje pfyuuu
Na tatizo ni wivu tu hapo yani mijianaume mingine mishenzi sijui inafikiri masters mini na hao wanao mlaumu bidadq kisa shule. Yan mi mtuu ampe mimba ya blood sister ndoa ndo kwaheri
 
Imagine kuwa mfanyakazi na evening program ya masters, assuming mtu upo Dar kuingia home sa 4 hio,umechoka huna hali,Muda wa ndoa uko wapi
Hapo kapika mdogo mtu Kala na mumeo nk nk
Wanawake lazima tuelewe when it comes to ndoa IT'S A MAN'S WORLD, mfumo dume ndani ya ndoa kaweka Mungu mwenyewe,
Haki sawa majukwaani na ofisini, ndani ya ndoa hakunaga haki sawa mami
Bible imeandika Mwanamke ndo atavunja ndoa yake kwa mikono yake sio Mwanaume
Nakubali mume kakosea sana lakini kama dada huyu anajali ndoa akubali yaishe,km hajali waachane,but why did she get married in the first place km jambo moja tu linamtoa ndani
I finally get something to speak out!! Unachoongea ni kweli kabisa mkuu. Asamehe kama huyo bwana kweli anajutia hicho kitendo na aombe msamaha kwa kumaanisha ili maisha yaendelee. Mdogo mtu naye kwa sasa sijui kama atakuwa na akili nzuri maana mimba hiyo pengine maamuzi yake yanaweza kuwa mabaya. Lakini all in all, dada mkubwa najua katika kupiga Masters yake lazima kuna kipindi alipwaya sehemu kiasi cha kuruhusu ukaribu wa mdogo mtu na mmewe ndo matokeo yakawa hayo. Cha msingi, katika ndoa kuna majaribu mengi, hivyo kwenye ndoa yenu hilo nalo ni jaribu lililotokea kwa sababu fulani, hivyo itategemea wanandoa hawa wanasimamaje katika misingi iliyowaunganisha. Dada, usikubali kumpoteza mmeo najua ni ngumu lakini piga moyo konde, msamehe na umwambie unavyompenda na malengo yako uliyokuwa nayo kwake. Msikilize kwa makini, kama anakumbuka ahadi zenu zilizowaunganisha basi azifufue nawewe uzifufue, kuzaa na mdogo wako isiwe ndo kitu cha kukatisha ndoto zenu. Maneno mengine yatamwagwa hapa kishabiki na utasikia mengi sababu watu wengi hawana subira katika ndoa.
 
Mpaka umeomba msamaha ina maana uko njia panda huna maamuzi sahihi ushauri Wangu msamehe Mme wako kwani wangekuwa hawajutii wasingekubali ila kwa kuwa wamekubali wasamehe ila pia unaweza kuwa wewe ndio una matatizo yaliyopelekea hali hiyo kutokea kaa chini tafakali kwani binadamu tu wadhaifu unaweza kuwa unafanya kwa nia nzuri kumbe ulikuwa unamkwaza mwenzio
 
Acha kumpotosha mdada wawatu, inaonekana nawewe unatabia za kifedhuri kama mjinga mwenzio

Kwakuwa nina busara na nina jeheshimu hasa kwa watu Kama nyie msionijua... Hukuwa na haja ya kunikejeli. Nimetoa mtazamo na ushauri wangu. Toa wakwako nawewe. Kumbuka mwamuzi wa mwisho ni Leah. Hivi kwa unavyokejeli na kujiona umeacha kukojoa ukiwa ukiwa umechuchumaa , siku ushauri wangu ukamfaa Leah utasemaje?! Watch your words you young cartoonic foolish woman.
 
Kwakuwa nina busara na nina jeheshimu hasa kwa watu Kama nyie msionijua... Hukuwa na haja ya kunikejeli. Nimetoa mtazamo na ushauri wangu. Toa wakwako nawewe. Kumbuka mwamuzi wa mwisho ni Leah. Hivi kwa unavyokejeli na kujiona umeacha kukojoa ukiwa ukiwa umechuchumaa , siku ushauri wangu ukamfaa Leah utasemaje?! Watch your words you young cartoonic foolish woman.
Samahani ndgu, tumwachie Leah2 mambo yake tusigombane bure mshana na mrutu
 
Mimi in mwanaume nakuambia makosa ni yako mashauzi classic.furaha ya ndoa ni watoto wewe ndiyo unapanga mzae lini sasa kwa kujishaua mdogo wako kakupiga bao wewe tafuta mwenzako mtakayefanana kwa tabia na uelewe kabisa hapo ndoa ndiyo imevenjika ukitaka kujua subiri ajifungue huyo unayemuita dogo wakati mapenzi ya mtu mpya ktk familia yanaendelea ukadai ndoa yako kama kuna kisu karibu anaweza kukishindilia tumboni kwako na matusi juu.
 
Msamehe Mumeo, mtoto akizaliwa mchukue uishi nae,with time litazoeleka na jamii itakuchukulia kama shujaa.
 
Kwanza pole, pili uamuzi uliochukua uko sahihi kiasi fulani kwani sio jambo zuri wewe na mdogo wako wa tumbo moja kumzalia mwanaume mmoja. Mark my words this love will not make you levitate.

Aisee hii post kumbe iko hivi, nilijuwa naiona na kuiruka pole sana Dada Leah2 hapi huna mume, inauma sana.
Bora tuhuma kuliko vivid evidence aisee
Cc kwa wanaume wote.
 
Sawa utamwacha mumeo lakini mumeo hatomwoa huyo dogo,najua hutokuwa na amani hapo ndani kwani hilo ni kubwa kulibeba.

Kneel down and pray ipo hekima ya Mungu itakuongoza vyema
Hapa kweli ni mambo ya kumwachia Mungu lkn hata mimi hilo siwezi kulivumilia.
 
Jiulize ni kwa nn amefanya,au uko bize sana na kitabu?
 
The story is profou dly touching my heart sijui kwa nini?? Too spritual and emotional daahhh
Pagumu hapo. Pole. Kuna maswali ya kujiuliza..Je, wakiishi pamoja uko tayari kumuita huyo mumeo shemeji? Mumeo alijuta na kuomba msamaha kwa dhati? Hapo kuna tatizo kubwa sana kwenye mahusiano wewe na mdogo wako. Chuki yako haitakwisha kwake akiendelea kuishi na Mumeo na ndo aibu itaendelea milele.
Ushauri mumeo akijirudi itakua nafuu na mdogo wako angeondoka angeolewa baadae na mtu mwingine ungepata nafuu kidogo ya chuki. Kwa sasa hata ukija pata mtu mwingine baadae wa kukuoa akisikia hii story anaweza kubadili mawazo.
Ukiweza kapatane na mumeo.
 
Kwani lengo la mumewe kutembea na mdogo wake lilikua mtoto au tamaa tuu,
Km ni mtoto kwanini alikua anamlazmisha atoe mimba??

Swala la leah kusoma ni makubaliano yake na mume.

Na swala la mume kutembea na mdogo mtu ni tamaa tuu.


Usimuhukumu,
 
Wewe sio mwanaume ila fedhuli unaetetea upumbavu, mwanamke kusoma ndo mashauzi, mke wangu ana PhD mimi form 6 tunapendana tunaishi vizuri elimu yake haiadhiri biashara zangu huyo jamaa ni mshenzi mpige chini
 
Back
Top Bottom